Dar Express #T844 BDR la Nairobi to Dar es salaam 23/10/2012 kidogo lituuwe

Tutajuaje kama dereva wa hyce ndo mwenye makosa, labda trafiki wamalize vipimo na maelezo ya madereva na abiria then ijulikane nani amekutwa na reckless driving
 
Dar express kimeo siku hizi madereva wazembe ...wahudumu wanachakachua hadi soda za abiria

Umesahau kuwa wahudumu wa kike ukiongea nae vizuri ukifika Arusha au dar unakula mzigo na bei yao ni sh 15, 000 per night mpaka saa kumi na moja ili awahi kuamka kwenda kwenye basi kugeuza nalo kesho yake
 
nimeipenda hii!!
 
Nilipanda Dar express kutoka moshi jpili tar 21 oct 2012 gari namba T640 tuliondoka ms saa 2.30 asbh tulifika Dar saa 2.30 usiku tuliharibikiwa kisangara gari ikatengenezwa njiani tulikuta nyingine mbili zimekufa ikabidi tuwachukue abiria baadhi.hiyo tunaambiwa ilitoka ms saa 1.30 asbh .Kweli ni mwisho wa Dar express unaanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom