Dar Es Salaam, Ni Rahaa kweli kweli

FirstLady1, hivi huo mti wa umeme ukianguka si vifo kadhaa hapo vitatokea!?

Thanks for your comment.

hivi mgambo wa jiji si wanazunguka sana tu bongo?
kwa nini wasiripoti hali ya miti ya umeme kama hiyo?
au kazi zao ni kupora biashara za wenzangu na mimi?
na watu wa TANESCO je wako wapi?
bongo tutafika kweli kwa hali hii?
kweli bongo tambarare...
 
hivi mgambo wa jiji si wanazunguka sana tu bongo?
kwa nini wasiripoti hali ya miti ya umeme kama hiyo?
au kazi zao ni kupora biashara za wenzangu na mimi?
na watu wa tanesco je wako wapi?
bongo tutafika kweli kwa hali hii?
kweli bongo tambarare...

home kwetu tambarare sana

hii ni very dangerous .. Hata watu wa tanesco hawajaiona hiyo ..
 
firstlady1, hivi huo mti wa umeme ukianguka si vifo kadhaa hapo vitatokea!?

thanks for your comment.

ni hatari sana lakini watu wenyewe ndo hao wanapita bila hofu na sidhani kama report ilifikishwa kwa wahusika tanesko
 
mh.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom