Dar es Salaam, ljumaa ya leo rahaaaaa

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,063
4,058
Kuna kijimvua na hali tulivu kabisa. Hakuna majotro, hali hii inahamasisha sana bia na nyama choma, kisha umalizie na totoz bila ya kusahau matumizi muhimu ya condom

Nimeishafanya booking kwenye massage parlour moja ina totoz za ukweli

Jux naomba ramani ya hio massage parlour. usihof mimi nina booking tayari.

• Thanks
Reactions: Jux
Astakafirlah!! astakafirlah!! astakafirlah!! ......

kitambi pia usikisahau

ndio maana huwa naamka mapema sana kupiga seat ups, kama wewe unajibwetesha itakula kwako na minyama uzembe

Yaaani Hizi castle lite na kabaridi haka na chenyewe cha baridiiiiiiiiiiii...raha mustarehe kama tupo amsterdam vile..hapa imemisi totoz moja ini pet pet tu dah ijumaaaa rahaaa

Haya dsm, mmeamua kutunyanyasa tulio kwenye majoto, lakini hata sisi leo poa joto 35

Yaaani Hizi castle lite na kabaridi haka na chenyewe cha baridiiiiiiiiiiii...raha mustarehe kama tupo amsterdam vile..hapa imemisi totoz moja ini pet pet tu dah ijumaaaa rahaaa
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Yaaani Hizi castle lite na kabaridi haka na chenyewe cha baridiiiiiiiiiiii...raha mustarehe kama tupo amsterdam vile..hapa imemisi totoz moja ini pet pet tu dah ijumaaaa rahaaa

jamaaa unajipenda sana wewe. Hebu scrow phonebook yako lazima utapata namba ya mrembo mmoja loose

Jux naomba ramani ya hio massage parlour. usihof mimi nina booking tayari.

wapi huko kaka tuelezana ili nasisi tukapate huduma mkuu
Wakuu nimewasoma kama vipi ibukeni pande za maeneo ya Rose Garden kabla haujafika TCU karibia na TMARC kuna massage parlour ya ukweli na totoz za uhakika kuna za kibongo na kutoka thailand na Philippines

Huduma zote zinapatikana mkuu? mpaka ile kubwakubwa amabyo wanasema eti tz bila ukimi inawezekana wakati mi naona siyo

Mbona hiyo kawaida sana huku kwetu Ar chunga!nyie wa Dar siku moja tu mnajidaaai!Ok!Take care

Similar Discussions

Back
Top Bottom