tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,198
Unataka uonyeshwe zingine...Only 4 towers na unasema shut up??! What if zingekuwa nyingi na ndefu kama za Nairobi je?
alafu ndefu ziko joburgy east Africa vumbi tu
Unataka uonyeshwe zingine...Only 4 towers na unasema shut up??! What if zingekuwa nyingi na ndefu kama za Nairobi je?
The four towers are tall above 150m.Only 4 towers na unasema shut up??! What if zingekuwa nyingi na ndefu kama za Nairobi je?
Pia nyie mlete ya manzese uwanja wa fisiUsihahu kuleta picha za kibera
Hatutishi kwa majengo, ila kwa kuupanga mji!! Barabara pana, zilizopangwa na kurembeshwa kwa miti! Angalia hizo barabara za mji na uangalie ilivyo barabara yenu ya BRT!!! Huelewe aliyepanga alikuwa na lengo gani! Kuna daraja kule dar, (Suspension bridge) Lakini ilivyojengwa kimtindo haina mvuto tena!Mbona majengo ya kawaida sana dar yapo hakuna cha ajabu labda mkawatishe somalia kwa majengo