Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,834
Nawasalimia wana JF wote.
Leo ni siku njema tumeamka salama.
Dar es salaam yaani Bongo ina eneo kubwa zaidi ya Nairobi.
Eneo la mraba la dar es salaam ni km za mraba 1590.5 huku ukubwa wa Nairobi ni kilomita za mraba 698.
Huku dar es salam estimation ya population ya dar es salaam ikiwa ni 4,360,000 huku nairobi ikiwa ni 3,200,000
Kwahiyi basi dar es salaam ipo na akiba kubwa ya eneo na haijawa na density kubwa ya watu ukilinganisha na Nairobi.
Uwezekano wa kuuendeleza na kuwa modern city ni mkubwa sana ukilinganisha na Nairobi.
Halafu jambo jingine la muhimu kuelewa. Sasa hivi Tanzania ipo na mpango kabambe wa kuhamishia shughuli zote za serikali Dodoma na tayari office ya waziri mkuu imeshahamia.
Sasa basi kuhamia Dodoma kutaifanya Dar es salaam iwe na nafasi kubwa na kubaki mji wa kibiashara Africa Mashariki na Kati.
Hayo maoni yangu.
Vipi ndugu zangu wakenya mnasemaje?
Sources
Nairobi - Wikipedia
Dar es Salaam - Wikipedia