Dar es Salaam: Giza Kuu!!!

rais badala ya kushugulikia mambo haya yuko bize kunywa mikombe ya dawa LOLIONDO...aaaagh
 
arusha bdo haujarud maeneo flan flan, km ss 2po mianzin toka ukatke hyo sa8 haujarud mpk ss hv. Leo 2meenda kzn nguo hazijanyoshwa. Kz 2meshndw kfnxa
 
arusha bdo haujarud maeneo flan flan, km ss 2po mianzin toka ukatke hyo sa8 haujarud mpk ss hv. Leo 2meenda kzn nguo hazijanyoshwa. Kz 2meshndw kfnxa

sweetlady,

Nimeuliza TAANESCO wamesema, wakati umeme unarudi, kuna maeneo ambayo tayari muda wa "mgao ulikuwa umefika", kwahiyo maeneo hayo umeme utakuwa haujarudi mpaka baada ya masaa ya "mgao" wao kukamilika!
 
Jamani nisaidieni, nina ugomvi mkubwa na Tanesco. Kwanza tulikuwa tunalipa ankara za umeme kwao kila mwezi iweje leo wawe wanadaiwa na Dowans, ina maana pesa yote walikuwa wanachikichia? pili hii biashara ya umeme kwanini isiwe ya ushindani kama ilivyo kwenye secta ya mawasiliano ya simu za mkononi? Ona siku hizi tunapeta katika simu ingawa Tanesco hao hao wanajaribu kuwaangusha kwa kukosa umeme.
 
Sio huko tu hata huku mbeya nako ulikatika, nadhani hili ni giza la Tz nzima!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom