Dar es Salaam: Giza Kuu!!!

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,076
2,443
Kuanzia saa Nane Usiku wa kumkia leo 8/03/2011 umeme umekatika sehemu kubwa sana ja jiji la Dar es Salaam.

Hadi muda huu (saa Moja asubuhi) bado umeme haujarudishwa na TANESCO hawajatoa maelezo yoyote pamoja na kuwapigia simu zaidi ya mara 200 bila kupokelewa!
 
Unategemea nini Mkuu kwenye Serikali iliyojaa wababaishaji na vilaza/wasanii katika fani ya uongozi. Halafu CHADEMA wakisema Serikali hii hovyo wanakuja juu eti CHADEMA wanataka kusababisha vurugu nchini.
 
Kuanzia saa Nane Usiku wa kumkia leo 8/03/2011 umeme umekatika sehemu kubwa sana ja jiji la Dar es Salaam.

Hadi muda huu (saa Moja asubuhi) bado umeme haujarudishwa na TANESCO hawajatoa maelezo yoyote pamoja na kuwapigia simu zaidi ya mara 200 bila kupokelewa!

Mkuu pole sana ,na hii inatokana na kuchagua viongozi wenye akili kama za funza ndio mana mambo kama haza yanazidi tokea ,lol ...
 
Nimeongea nao sasa hivi wanasema (around 7:00am EAT)

"Kulikuwa na tatizo kwenye Grid ya Taifa"

And that is it! Hamna maelezo zaidi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nawauliza je yale masaa matano ya "blackout" mtayafidia vipi? au mgawo kwa leo utakuwa "suspended"?

Wanajibu

"Mgao upo pale pale"
 
Poleni Watanzania wenzangu.
Hivi bado mnadanganywa mgao wa umeme unasababishwa na Kupungua kwa kina cha maji?
Hizi mvua zinamiminika hivi huku iringa hazijajaza lile bwawa la mtera tu?
There must be something Else other than Water Level.
Halafu anayetoa jibu kuwa umeme umekatika Dar es salaam kutokana na hitilafu kwernye gridi ya Taifa ana maanisha nini? Hili jibu ni la hovyo, why only Dar then?
 
Mkuu nadhani ni TZ yote, mie niko Arusha nako umeme ulikuwa hakuna ingawa umerudi

Kuanzia saa Nane Usiku wa kumkia leo 8/03/2011 umeme umekatika sehemu kubwa sana ja jiji la Dar es Salaam.

Hadi muda huu (saa Moja asubuhi) bado umeme haujarudishwa na TANESCO hawajatoa maelezo yoyote pamoja na kuwapigia simu zaidi ya mara 200 bila kupokelewa!
 
kila nikiwaza abt ma travel ...i think twice...hayo mambo ka bado yaendelea hivi mipango yangu ita-succeed in advance!!
Poleni ndugu zangu wa Bongo!.
 
Poleni wapendwa. Wahanga wa mabomu tunashukuru hatuhusishwi na mgao wa umeme ila jana usiku ulikatika lakini sasa umerejeshwa. Tunaishukuru sana Serikali kwa kutuondolea kero hiyo ya mgao imekuwa kama faraja kidogo. Tunaomba isiwe kwa muda tu, watuondoe kabisa katika adha ya mgao kwani tuliyoyashuhudia wakati wa mabomu yametuathiri sana.
 
Kuanzia saa Nane Usiku wa kumkia leo 8/03/2011 umeme umekatika sehemu kubwa sana ja jiji la Dar es Salaam.

Hadi muda huu (saa Moja asubuhi) bado umeme haujarudishwa na TANESCO hawajatoa maelezo yoyote pamoja na kuwapigia simu zaidi ya mara 200 bila kupokelewa!

Itakuwa Nchi nzima hata huku Arusha ulikatika muda huo huo na kurudi kwenye saa 12.22 asubuhi
 
Poleni sana GOM. EE TANESCO MCHOVU wanusuru hawa kwa hilo. yaliyowapata yanatodha sana
 
Hii ishu imetokea nchi nzima. Isitoshe sis huku tulishazoea. Lakin kwakuwa safari hii dar imehusika, utaona vipindi vyote vya radio na tv vinaongelea. Na hata kwenye taarifa za habari.
 
Juzi tu nilimwona waziri flani kule Paris akiuchapa usingizi, nadhani kimya kikuu kina mshindo!!
 
wanasema watu tumekuwa hatuoni maendeleo yaliyoletwa na serikali ya awamu hii.Nadhani mojawapo ni hili la mgao wa umeme kwani kwa kikundi cha maswaiba zake (sijui na yeye yumo) wanatamani hali hii iendeleee milele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom