Dar es Salaam City in Photos

Foleni za jiji hili zinaletwa na Junctions...mfano Ubungo, Tazara, Mwenge, magomeni etc, hata tukipanua barabara zikawa sitasita haitasaidia kama tutaendelea kutegemea mataa na trafic police kuongoza magari kwenye junctions... we need flyovers kuondoa foleni...unaweza kukaa dk45 unasubiri kuvuka mataa ya ubungo kama unatokea mwenge kwenda mabibo...hakika naichukia junction ya ubungo...
 
DAR ES SALAAM

Photo by barrthabeet • Instagram

484b78fece2911e2950f22000a1ddb60_7.jpg
 
View attachment 27394
angalia hiyo majengo mengi yanazidi kujengwa, vipo huko chini, barabara na sewage system, pia mradi wa mabasi yaendayo kasi unaendeleaje kwa aliye na data, asante

Ni kweli kabisa jiji linakua kwa kasi ila huko tunakokwenda itakua ni vigumu saana kuwa na maendeleo na hasa katikati ya jiji ipo mifano mingi saana na hata wenzangu wameitaja ila bila kuifafanua zaidi na kuitolea maoni, ukiangalia usafiri ni bado ule wakizamani saana Enzi za UDA, sewage system na barabara ni zilezile toka Enzi za mkoloni, mfumo wa maji umeshazeeka sana, Maoni yangu ili kupunguza msongamano wa magari ni kuhamisha wizara zoote ziwe nje ya jiji kwa maana hiyo lianzishe jiji jipya (New city) ambalo litajengwa kisasa na hii Dar ya sasa iwe old Dar city hapo tunaweza kupanga jiji letu jipya kama tutakavyopenda lakini kwa ndoto tulizonazo za kusema tujitahidi kurekebisha miundo mbinu ni kazi bure na badala yake itakua ni miundo mbiina
 
Ni kweli pia ni kati ya majiji unplanned,nashauri ingefaa wangeunganisha Bagamoyo,kibaha na sehemu ya morogoro na sehemu ya tanga then utengenezwe satellite city(jiji la kisasa ambalo ni planned),halafu zihamishwe wizara zote zihamishiwe huko kwani ni dhahiri KUHAMIA DODOMA nadhani imekuwa ngumu.
NB; mfano mzuri Nigeria walihamisha mji mkuu toka LAGOS hadi ABUJA.

sio ngumu bali baadhi ya watawala wanawwaza kwenda beach tu bila kufikiri maendeleo
 
mengi hapo hayana viwango siku ya siku yatakuja kuangukiana hata sehemu yakupita kwenda kusaidia waliokwama itakuwa hakuna
 
Yaani hakuna hata moja la mtu wa ukoo wangu analimiliki umaskini ni mmbaya sana ila nitajitahidi kuchakachuwa
:smile-big:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom