Mahakama ya kadhi my foot, yaani sisi ambao siyo waislam tulipe kodi kwa kuendesha mahakama zenu, kamwe serikali isikubali huu ujinga!
kwani kodi yako ilipoilipa dowans umechukua hatua gani????
Mahakama ya kadhi my foot, yaani sisi ambao siyo waislam tulipe kodi kwa kuendesha mahakama zenu, kamwe serikali isikubali huu ujinga!
inatia huruma kwa kweli kuona tunaingia kwenye umwagaji wa damu pasipokuwa na kiongozi mwenye msimamo na taifa letuu
maisha haya tuataamkumbuka sana BWM kwa kuongoza taifa hili kwa haki na usaawa na kuwa na msimamo wa dhati na taifa hili bali mafisadi hawapendi wajilimbikizia mali na kila uchao wanaenda safarii tuu bila hata chembe ya woga dhambi inawatesa sasa kwa upande mwingine ni haki kwa waisliamu kulilia rasilimali ya nchi hii kama wazalendooo na taifa hili
Je nataka kujua na katika hili chadema wanahusika nalo pia?mana kila kitu huwa tunaseama chadema na kundi lao je na hili wanahusika
nataka kuckia kauli za wana mapinduzi aka magambaaaaaaa
Si mtupe mahakama ya kadhi, kwani mmesahau ahadi ya chama chetu ya kuwa suala la mahakama ya kadhi litapatiwa ufumbuzi?????????? Msipotupa haki yetu, sisi tutajichukulia.
Mahakama ya kadhi my foot, yaani sisi ambao siyo waislam tulipe kodi kwa kuendesha mahakama zenu, kamwe serikali isikubali huu ujinga!
Kwa namna hii, mambo ni shwari kabisa tuende nyumbani tukapumzike. Jamaa wamesha dhibitiwa na nguvu ya dola hawawezi tena kufurukuta na kusababisha vurugu.
Ila dola itafute mzizi wa hali hii inayojirudia Tanzania na kutafuta mkakati-endelevu wa ujenzi wa umoja wa kitaifa maana vurugu hizi za 'kidini', POLISI wa Tanzania hawajazoea kukaa mabarabarani na ktk vizuizi 24/7 (siku nzima, wiki nzima, mwezi mzima, miaka yote).
kwani mahakama ya kadhi mmenyimwa? si mlishapewa na mmeshachagua viongozi wenu?
Ni vyema ukapata taarifa kwa usahihi, hapo ni kuwa mkuu wa kaya alikuwa anaandaliwa njia ya kupita wakati wa kurudi ikulu
Fanyeni kazi, acha kukaa barazani nakudai haki zenu. Changisheni wenyewe kwa wenyewe, sio KODI inayokusanywa kwa ajili ya mambo ya msingi nchi itumike kwa watu wasiopenda kujishughuli.
kwani kodi yako ilipoilipa dowans umechukua hatua gani????
Kwani Jk amesharudi?
Tatizo si kupewa. Kinachotakiwa ni kuiingiza kwenye katiba, ili iwe na nguvu kisheria.
Kwani ninyi mnalipa kodi kwenye biashara mnazofanya???? Mna mahospitali, Bugando, KCMC, nakadhalika, mna shule na biashara nyingi tu, kwani mnalipa kodi????? iweje muone nongwa kwa mambo madogo kama hayo????? Hamutaki, Mnataka KITAELEWEKA. Mambo mtindo mmoja kama Tunisia, Libya na kwingineko
Si mtupe mahakama ya kadhi, kwani mmesahau ahadi ya chama chetu ya kuwa suala la mahakama ya kadhi litapatiwa ufumbuzi?????????? Msipotupa haki yetu, sisi tutajichukulia.
iingizwe kwenye nini?? mboma watu mnaving'ang'anizi hivi?? selikali haina dini lakini hamaikii tu.
mkuu asante kwa taarifa. Tunaomba uweke picha ya hao wanajeshi.