EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
- Thread starter
- #41
Interesting debate.
However, I have advise for my compatriots. The only way we can address this problem is to tell our story comprehensively. Wengi hapa tunalalamika kwamba historia yetu inapotoshwa. Lakini hebu niambia ni wangapi tunakaa chini na kuandika? Iam proud of Chambi alivyojibu na ndo maana kama mmeona huyu mwanafunzi kampa staha sana hata kwenye majibu yake. This is the way it should be. Africans should write and tell their stories. Hii ya kulalamika will take us nowhere.
Angalia watu kama wakina Mkapa ametumikia taifa miaka zaidi ya 50! Leo kastaafu baada ya kukaa chini aandike hata historia ya utumishi wake, siasa za Tazania na mengineyo...leo yuko busy anagombana na watoto wadogo Arumeru! Na tunalalamika kwamba wazungu wanapotosha historia yetu! Its really a pity..angalia viongozi wengi wastaafu wako busy kwenye siasa za CCM na kwingineko..yet these are the people to write and tell this generation..kipi kilifanyika na reasons behind maana walikuwa sehemu ya haya maamuzi.
Mara nyingine nasikitika nikiona tunalalamikia vitu ambavyo uwezo wa kuvirekebisha tunao. Tujitahidi maana miaka ijayo watoto wetu watakuwa wanasoma hitoria ya wazungu tuu....ya kwao hawaijui..
Tukae chini tuandike! Tuache longo longo!
Have you done your research and find out that there are no academic works on the subject matter? And please here we are talking about academic articles, not politicians and ex-president articles.