Daniela

jino kwa jino

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
783
169
Sijui kama ni jukwaa sahihi au lah!
Kwa wale wapenzi wa tamthilia ya Daniela ya chanel ten shost anaomba kujua jana imeendeleaje kwa summary, huu mgao wa umeme hauwak cku ya pili leo.
 
Mkuu marudio yanakuwepo kila jumapili saa nne asubuhi. Lakini Startimes wamemaliza series zote katika STVE 1.Nahisi kama STV 1NARUDIWA. Jaribu kupata king'amuzi cha Startimes.
 
Marudio yapo tatizo mgao! Kwetu tunapata umeme saa 5 usiku hadi saa 2 asubuh tu muda mwingne ni nyeusi
 
Mhhhh hizi vitu mie ndio maana siku hizi siangalii, ukikosa episode moja unahisi hadi vipele vya baridi kukutoka, mpaka homa
 
Back
Top Bottom