Dangerously in Love with u ........

Ni kitu kizuuri
Let it glow.. don't hold back anything..
Si kila siku unapata feelings nzuri dear.
Is good to express your feelings..

Hongera na furahia..

Asante kwa kufurai juu yangu stay blessed my love
 
Ndio ni member humu naye ndio mana nimesemaaa cwez kumtaja koz atapata bichwa.

Mi nadhani ukipenda utataka dunia nzima ijue......lol!! Anywayz, sio mbaya hata ukimwambia kwa nyuma ya pazia ilimradi atambue kuwa that is for him na apate kufurahi pia!!!
 
I can smell it from what you are writting! Hahahahaa.........mgonjwa anajulikana tu lol!! That baby boy stays in your mind to fulfil ya fantasy!!!
Basi una nusa mbaya mnoooo
Sasa niambie jinsi ya kupata tiba sasa mana we umeshaelewa ka mi mgonjwa
 
Mi nadhani ukipenda utataka dunia nzima ijue......lol!! Anywayz, sio mbaya hata ukimwambia kwa nyuma ya pazia ilimradi atambue kuwa that is for him na apate kufurahi pia!!!
Nitamwambiaje sasa loh! Kua nimekupenda mweh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom