DANCE MIA MIA: Ni Vichekesho

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,424
Ulimbukeni wa watangazaji Mpaka Kero....... Dancers hawana ubunifu wowote zaidi ya kuiga style za nje.

IT'S BORING
 
Ulimbukeni wa watangazaji Mpaka Kero....... Dancers hawana ubunifu wowote zaidi ya kuiga style za nje.IT'S BORING
Yah hata mi nimeona,namfagilia Sygon ila inabidi akue sasa bado tu anabehave kama teenager..
 
Vichekesho vya hali ya juu,kipindi
kimetengenezwa vizuri ila talent
hakuna...
 
its a nice show, sema tu ipo mwanzoni... competition yoyote ikiwa mwanzoni inaboa hadi mchujo upite., mf. Tusker pro. fame au Bongo star search, inaboaga mwanzoni but after mchujo wakibaki wanaoweza ndipo unapoanza kuona uzuri wake.. so never judge a competition show ikiwa stage za mwanzoni...
 
Kama yule presenter wa kike bora hata wangemuweka bibi yangu angefunika
 
Back
Top Bottom