Dancando Lambada

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,216
113,510
Ebana mnakumbuka hili kundi la Kaoma kutoka Brazil na style yao ya Lambada? Mimi hii inanikumbusha mbali sana...mwaka 1990 (miaka 19 iliyopita...yaani ni kama jana tu)...wakati wa kombe la dunia kule Italia. Hii style ndo ilikuwa inatamba wakati huo...aaaah ni raha iliyoje kukumbuka nyakati kama hizi ambazo huwezi hata kuzi-rewind zikarudi tena. Ooh well....haya burudikeni

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=InRnrXXOdJU[/ame]
 
Halafu ukijua na kuicheza Lambada tena kwa madaha ni raha kubwa sana. Hadi hii leo zikipigwa nyimbo kama hizi bado zinawainua watu wengi kwenye viti vyao. Naangalia final ya Dancing with the Stars ABC sasa hivi kuna huyu binti Mya aliicheza vizuri sana lambada, I hope ndiye atakayeukwaa ubingwa.
 
Aaaah mazee Mya mtamu sana. Ila nina shaka kama atashinda kwa sababu fanbase yake si kubwa kama ya yule binti wa Ozzy Osbourne na yule Donny Osmond

Ila Lambanda safi sana aisee. Yaani ni muziki wa kuriwadha na kukufanya usahau matatizo yako kwa muda. I miss those days
 
Naam Julius, anayestahili kushinda ni Mya lakini kutokana na kuwa na fan base ndogo basi Donny Osmond ndiye atakayeshinda. Nangoja niwaone pia Jerry Rice akichuana na Michael Irvin sijui nani ataibuka kidedea, lakini Michael mzito sana sijui kama atakuwa ameimprove katika siku hizi chache. Hapo kwenye nyekundu mimi sitii neno maana guu lake na macho yake mhhhh! mashallahu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom