Damu zaidi kuitajika kunusuru maisha wahanga gongolamboto

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
830
184
Kikwete na Serikali yake watueleze ukubwa wa tatizo Mbagala,kwani mahitaji ya damu yanafanya hofu kuongezeka kwani tatizo linaonekana kuwa kubwa sana
 
Nimepeleka wana CDM 100 Wamejitolea damu sasa ni vema tujue ukubwa wa tatizo ili serikali ya CDM iweze wasaidia zaidi kwani hao Ccm hawajachangia bali kuongea tuu propaganda.
 
Back
Top Bottom