Damu Ya David Mwangosi iwe ni Chemchemi ya Ukombozi

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Tumeshuhudia kijana akijitoa mhanga kule Tunisia na hatimaye kuliokoa taifa lake kutoka mikononi mwa masultani. Vifo vya wapiganaji Morogoro, Iringa, Mabwepande, Mbeya na Arusha yawe ni chemchemi ya Ukombozi wetu kwani leo hao watawala wameligeuza nchi kuwa shamba lao na watoto wao.

Ridhiwani Kikwete anadiriki hadi kuingilia na kuvuruga vilabu vya mipira (Simba) kwa sababu ni mtoto wa Rais. January anawatishia watumishi wa Tanesco na Vodacom kwa sababu ni mtoto wa Makamba. Mwislamu, Mkristo, Wana CUF, CHADEMA, CCM. Wote tu Watanzania. Tusikubali kuonewa haki zetu tena.

Tujitayarisheni kulikomboa taifa. Damu ya David Mwagosi na wapiganaji wengine yaisimwagike bure. Yawe ni Chemchemi ya Ukombozi. Jitayarisheni kimwili na kiroho, kwani mabadiliko yako mlangoni. Hatuna Silaha, waacheni watuue, lakini hawatatumaliza wote. Tunawajua na mwisho wa siku watasimama mbele ya haki. Tukibaki na uoga wenu, wote tutakufa chini ya vitanda

Wenu Mpiganaji na Mbunge
 
tunamtafuta tu kiongozi. tuko tayari.
 
mmh, nani aaanze please, ila kwa picha za tukio la mwangosi nilitegemea wale vijana wa polisi wangeasi
 
Mungu hajalala wala hajasinzia...anaona kila kitu kinachoendelea duniani.Enyi polisi muuao watu kwa kisingizio cha kuandamana/kukusanyika bila kibali huku kibali mkitoa wenyewe mtakiona..Mimi c Mungu lkn Mungu yupo hata kama humwamini...atakuhukumu hapahapa duniani....si miaka kumi ijayo ni mitatu tu...tutafufua kesi zote za mauaji zilizopotoshwa sasa. na tutakamata wote waliohusika bila kujali nafasi zao...mnaoua sasa mmejisahau..mnadhani ccm itatawala milele..mtajibeba!Na Mungu pua hatanyamazia uhuni wenu....atawaumbua tu..miili yenu itakusanywa ktk viroba kama wa Mwangosi wetu....endeleeni kuua..lkn ninyi na wanaowatuma mtakutana sehemu moja..sijui ni ipi..
 
tuanze raia kusonga mbele kuenda kuchukua ikulu yete ya magogoni jeshi,polisi na usalama wa taifa wataungana na wandamanaji
 
Mtanzania hajui ukombozi wala uzalendo wa nchi....kelele zako ni sawa na kumpigia mbuzi gita acheze mziki
 
Back
Top Bottom