Damu inatoka

Sailor Boy

Senior Member
Nov 25, 2010
103
5
jamani wana jf nisaidieni nina mpenzi wangu ambae nampenda sana, na tumeishi mda mrefu, kuna tatizo limemtokea hivi karibuni, kila tunapo have sex anatokwa na damu ingawa haumii, je tatizo linaweza likawa nini? nisaidieni
 
Hilo tatizo kitaalamu linaitwa POSTCOITAL BLEEDING, kuna magaonjwa mengi yanayosababisha, ni vigumu kusema tatizo ni nini, kwa sababu inahitaji examinations kuona source of bleeding, nakushauri mpeleke kwa Daktari am-examine, ikiwezekana umpate daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama (Gynaecologist).
 
Painless postcoital bleeding inasababishwa na mambo mengi,inaweza ikawa ugonjwa kamavile gonorrhea,chlamydia na mengineyo au akawa na vijiuvimbe(polyps) au hata kansa ya kizazi ila usishtuke sana fanya kama walivyokushauri memba wengine,nenda hospitalini kwaajili ya uchunguzi na vipimo
 
Mpeleke ocean road kama upo bongo akafanye kwanza smear test! maana! ingine anaweza kuwa na umri mdogo via vyake vya uzazi bado havijakomaa
 
jamani wana jf nisaidieni nina mpenzi wangu ambae nampenda sana, na tumeishi mda mrefu, kuna tatizo limemtokea hivi karibuni, kila tunapo have sex anatokwa na damu ingawa haumii, je tatizo linaweza likawa nini? nisaidieni

saa zingine vidonge vya uzazi wa mpango vinasababisha hayo
 
wasiliana na dk s akupe dawa koz mchumba ake alikuwa na tatizo hilo ndomana yupo bed rest
jamani wana jf nisaidieni nina mpenzi wangu ambae nampenda sana, na tumeishi mda mrefu, kuna tatizo limemtokea hivi karibuni, kila tunapo have sex anatokwa na damu ingawa haumii, je tatizo linaweza likawa nini? nisaidieni
<br />
<br />
 
pole sana kaka kimbilia haraka hospitalini asikwambie m2 tofauti na ushaur sehemu hiyo ndio yenye starehe zaidi kuliko sehemu nyingine za mwili wa mwanamke.
 
Next time peleka mada yako JF Doctor. Nenda hospitali haraka sana. Next time mambo kama haya yakitokea wewe wakati unauliza yeye unampa hela anwahi hospitali.

All the best, ujifunze pia kuomba Mungu sometimes ni upepo unawapita tu hamjui.
 
Ungelikuwa Uganda, ile sheria yao ya ndoa aka "penis order" ingeingilia kati katika hili, haiwezekani atokwe damu then haumiii, yaani raha zilezile tu! nadhani wenye mtoto wao wakijua watakujia juu mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom