Dalili za wanawake wanaosaliti ndoa zao……………!

aah halafu wewe gee....unapenda tunda gani? Apple au Blackberry...???lol

I like an apple ....a white apple for that matter, thank you very much :]

Gaijin kumbe ni 'kulipuka pamba'na perfume tu ..lol
sina haja ya live chicken lol

Kulipuka pamba unaona kazi ndogo? inataka ufundi na ustadi ......

kisha kuna wengine perfume harufu utasema shombo la dagaa ....agggrrrrr
 
Boss lakini anajidai kuvunga hapa tu asitengwe na kina Babu DC kaelekea mhongaji mashuhuri huyo. Keshawahi kusema katoa Black Berry ...:]]

hahahaaaaaa Geee maweeeeeeee!!!!

natamani nimuulize kitu aisee....lol!!

eti wewe ndo akuletee vumbi la mkaa ushikwe na mafua....khaaa!!!
 
I like an apple ....a white apple for that matter, thank you very much :]

Kulipuka pamba unaona kazi ndogo? inataka ufundi na ustadi ......

kisha kuna wengine perfume harufu utasema shombo la dagaa ....agggrrrrr

hiyo perfume ya shombo la dagaa sijawahi isikia aisee...lol
natamani ungeuliza na jina lake ....lol
 
hahaaaaaaa gongelea tena mama wa maromance...
asije kajikolezea AYU ukaumwa kichwa bure mwana wa mwenzie akhaa!!
 
hiyo perfume ya shombo la dagaa sijawahi isikia aisee...lol
natamani ungeuliza na jina lake ....lol

hahahah we unafikiri mas'hara! Kuna mtu anatia perfume kisha anavuja jasho .........huo mchanganyiko usiombe!

Bee huyu Boss anataka kujifanya mjanja, lakini wapi..........haumwi mtu kichwa na AYU ...lol

Mtwange suali .......
 
sasa mtu mwingine kaambiwa jasho lake lanukia pia..lol
unategemea nini....lol
swali limejibiwa huko huko aisee...lol
 
kweli mapenzi utoto, ukaambiwe jasho lako linanukia na wewe uamini kama si kupumbazwa kitu gani!

though i will have to admit, I like a rugged look on a man sometimes ....
 
Dalili za wanawake wanaosaliti ndoa zao hazitofautiani sana na zile za wanaume. Kuna maelezo ya kitaalamu kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa kuliko ilivyo kwa mwanaume. Hii inatokana na ukweli kwamba, hisia zinakuwa na nafasi kubwa sana kwa mwanamke, kwani mwanamke huishi kwa hisia zaidi kuliko mwanaume. Bado nasisitiza kwamba, haipaswi na siyo sahihi mtu kuchukulia dalili hizi kama ushahidi wa mpenzi wake kutoka nje ya ndoa. Uchunguzi kufuatia dalili ni muhimu sana.

Zifuatazo hapa chini ni baadhi ya dalili zinazoweza kuoneshwa na mwanamke ambaye anatoka nje ya ndoa yake:

1. Kuchelewa: Kuna wakati mwanamke anaweza kuaga kwamba anakwenda saluni au kusuka, badala ya kurejea kwa muda ambao umezoeleka, anachukua muda mrefu hata mara tatu zaidi. kuna wakati kwenda sokoni huchukua saa kadhaa bila kujali soko liko umbali gani. Kama ni mara moja sawa, lakini ikishakuwa zaidi ya mara moja, huenda kuna tatizo la kukosa uaminifu.

2. Kubadili maeneo: hebu chukulia kwamba, mwanamke amezoea kwenda soko fulani la karibu, hospitali fulani ya karibu, saluni fulani ya karibu na hata nyumba fulani ya ibada ya karibu. Unapoona anahama maeneo ya karibu ya huduma na kwenda ya mbali, bila sababu ya msingi, huna budi kuanza kutuhumu mwenendo mbaya. Siyo lazima kuhama kokote kuwe na mwenendo mbaya, lakini kama kuhama kwenyewe kunatia shaka kwa sababu maelezo ya kuhama huko hayana mashiko, mwanaume ana kila sababu ya kuchunguza kama hakuna usaliti unaofanywa.

3. Ununuzi usio wa kawaida: Kama mwanamke anatoka nje ya ndoa yake kwa ajili ya kupata fedha, basi atakuwa na mabadiliko makubwa katika mtindo wake wa manunuzi.atakuwa ananunua vitu vya thamani kubwa kuliko uwezo wake, atakuwa na fedha nyingi tofauti na ambazo angekuwa nazo na pengine kumiliki mali kama nyumba kwa siri.

4. Kuzungumzia kuachwa: Kuna wakati mwanamke anaweza kuwa anatoa kauli za kuonesha kwamba, kama mwanaume anaona vipi , wanaweza kuachana. Kama kila penye ugomvi kidogo tu mwanamke anakimbilia kusema, ‘kama ni kuachana, tuachane tu' hiyo inaweza kuwa ni dalili mbaya kwa mwanamke anayetoka nje ya ndoa kwa sababu hana tena upendo na mumewe. Lakini pale ambapo mwanaume ni mkorofi, kauli kama hizi zinaweza kutolewa, hata kama mwanamke hatoki nje ya ndoa yake. Kwa hiyo kabla ya kumtuhumu, mwanaume anatakiwa awe mkweli kwa nafsi yake kuhusu anavyomtendea mkewe.

5. Kusitisha uaminifu: Mwanamke anayetoka nje ya ndoa, mara nyingi husimamisha kumwamini mumewe, yaani hayuko tayari kushiriki masuala ya siri, ambayo wanandoa huwa wanashiriki. Husita kumshirikishamumewe kwenye mambo yake mengi. Lakini pia husita kumuomba mumewe ushauri, kama alivyokuwa akifanya siku za nyuma.

6. Kuacha kuvaa pete: Kuna sababu nyingi ni kwa nini mwanamke anaweza kuacha kuvaa pete yake ya ndoa. Moja ya sababu hizo ni kusalitiwa na mumewe au ndoa yake kuwa kwenye misukosuko mikubwa sana. Lakini nje ya misukosuko mikubwa ya ndoa, sababu nyingine inayoweza kumpelekea mwanamke kuvua mara kwa mara au moja kwa moja pete yake ya ndoa, ni kuwa na uhusiano nje ya ndoa yake.

7. Kuonesha wasiwasi: kama mwanamke anatoka nje ya ndoa yake , ni lazima atakuwa na wasiwasi na mashaka yasiyo na sababu mbele ya mume wake. Anaweza kuonesha kutotulia kwa aina fulani kama kwamba, anahofia kuna siri nitatoka au kuna kitu ambacho tayari mume wake anakijua dhidi yake. Mara nyingi wasiwasi na mashaka humtawala sana mwanamke anayetoka nje , hasa katika hatua za zake za awali za kutoka nje.

8. Kuanzisha vurugu: Kuna wakati mwanamke anayetoka nje ya ndoa huanzisha vurugu za makusudi na mumewe. Lengo la kuanzisha vurugu hizo ni ili apate nafasi ya kujifanya amezira na kuondoka nyumbani kwa muda. Huo muda anapoondoka nyumbani kujifanya kakerwa na vurugu hizo ndiyo muda ambao anautumia kwenda kwa hawara yake
Ni kweli sana mkuu, lakini hadi haya yatokee utakuwa umesalitiwa mara kibao tu...! Hakuna tena unachookoa, zaidi ni kuamua tu kushare au kuamua vinginevyo...!
 
Dalili za wanawake wanaosaliti ndoa zao hazitofautiani sana na zile za wanaume. Kuna maelezo ya kitaalamu kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa kuliko ilivyo kwa mwanaume. Hii inatokana na ukweli kwamba, hisia zinakuwa na nafasi kubwa sana kwa mwanamke, kwani mwanamke huishi kwa hisia zaidi kuliko mwanaume. Bado nasisitiza kwamba, haipaswi na siyo sahihi mtu kuchukulia dalili hizi kama ushahidi wa mpenzi wake kutoka nje ya ndoa. Uchunguzi kufuatia dalili ni muhimu sana.

Zifuatazo hapa chini ni baadhi ya dalili zinazoweza kuoneshwa na mwanamke ambaye anatoka nje ya ndoa yake:

1. Kuchelewa: Kuna wakati mwanamke anaweza kuaga kwamba anakwenda saluni au kusuka, badala ya kurejea kwa muda ambao umezoeleka, anachukua muda mrefu hata mara tatu zaidi. kuna wakati kwenda sokoni huchukua saa kadhaa bila kujali soko liko umbali gani. Kama ni mara moja sawa, lakini ikishakuwa zaidi ya mara moja, huenda kuna tatizo la kukosa uaminifu.

2. Kubadili maeneo: hebu chukulia kwamba, mwanamke amezoea kwenda soko fulani la karibu, hospitali fulani ya karibu, saluni fulani ya karibu na hata nyumba fulani ya ibada ya karibu. Unapoona anahama maeneo ya karibu ya huduma na kwenda ya mbali, bila sababu ya msingi, huna budi kuanza kutuhumu mwenendo mbaya. Siyo lazima kuhama kokote kuwe na mwenendo mbaya, lakini kama kuhama kwenyewe kunatia shaka kwa sababu maelezo ya kuhama huko hayana mashiko, mwanaume ana kila sababu ya kuchunguza kama hakuna usaliti unaofanywa.

3. Ununuzi usio wa kawaida: Kama mwanamke anatoka nje ya ndoa yake kwa ajili ya kupata fedha, basi atakuwa na mabadiliko makubwa katika mtindo wake wa manunuzi.atakuwa ananunua vitu vya thamani kubwa kuliko uwezo wake, atakuwa na fedha nyingi tofauti na ambazo angekuwa nazo na pengine kumiliki mali kama nyumba kwa siri.

4. Kuzungumzia kuachwa: Kuna wakati mwanamke anaweza kuwa anatoa kauli za kuonesha kwamba, kama mwanaume anaona vipi , wanaweza kuachana. Kama kila penye ugomvi kidogo tu mwanamke anakimbilia kusema, ‘kama ni kuachana, tuachane tu’ hiyo inaweza kuwa ni dalili mbaya kwa mwanamke anayetoka nje ya ndoa kwa sababu hana tena upendo na mumewe. Lakini pale ambapo mwanaume ni mkorofi, kauli kama hizi zinaweza kutolewa, hata kama mwanamke hatoki nje ya ndoa yake. Kwa hiyo kabla ya kumtuhumu, mwanaume anatakiwa awe mkweli kwa nafsi yake kuhusu anavyomtendea mkewe.

5. Kusitisha uaminifu: Mwanamke anayetoka nje ya ndoa, mara nyingi husimamisha kumwamini mumewe, yaani hayuko tayari kushiriki masuala ya siri, ambayo wanandoa huwa wanashiriki. Husita kumshirikishamumewe kwenye mambo yake mengi. Lakini pia husita kumuomba mumewe ushauri, kama alivyokuwa akifanya siku za nyuma.

6. Kuacha kuvaa pete: Kuna sababu nyingi ni kwa nini mwanamke anaweza kuacha kuvaa pete yake ya ndoa. Moja ya sababu hizo ni kusalitiwa na mumewe au ndoa yake kuwa kwenye misukosuko mikubwa sana. Lakini nje ya misukosuko mikubwa ya ndoa, sababu nyingine inayoweza kumpelekea mwanamke kuvua mara kwa mara au moja kwa moja pete yake ya ndoa, ni kuwa na uhusiano nje ya ndoa yake.

7. Kuonesha wasiwasi: kama mwanamke anatoka nje ya ndoa yake , ni lazima atakuwa na wasiwasi na mashaka yasiyo na sababu mbele ya mume wake. Anaweza kuonesha kutotulia kwa aina fulani kama kwamba, anahofia kuna siri nitatoka au kuna kitu ambacho tayari mume wake anakijua dhidi yake. Mara nyingi wasiwasi na mashaka humtawala sana mwanamke anayetoka nje , hasa katika hatua za zake za awali za kutoka nje.

8. Kuanzisha vurugu: Kuna wakati mwanamke anayetoka nje ya ndoa huanzisha vurugu za makusudi na mumewe. Lengo la kuanzisha vurugu hizo ni ili apate nafasi ya kujifanya amezira na kuondoka nyumbani kwa muda. Huo muda anapoondoka nyumbani kujifanya kakerwa na vurugu hizo ndiyo muda ambao anautumia kwenda kwa hawara yake

Hizi zote pia huweza kuwa kwa mwanaume pia ila naongezea:

9. Kuoga mara tu arudipo nyumbani. Likely inatokana na kuondoa uwezekano wa utofauti wa usafi usio kawaida hasa kwa ile hali ya kubadilisha mazingira au kuondoa uwezekano wa kubadirika kwa harufu ambayo mume au mke amizoea. Lakini iwapo ni kawaida yake tangu kuingia kwenye ndoa hapo hii haitafanya kazi ila ikifatiliwa ina mashiko fulani

10. Kutumia muda mwingi kwenye sms au kuhakikisha simu iko mkononi mwake ata kama alipo ni salama (nyumbni)
Kama alizoea kuiacha simu kwa muda ata bila kujali; ataanza kuishikilia muda wote na wakati mwingine kuiweka silent au kwenye vaibration au kuipokelea maeneo ya ufichoni kama chooni pale awapo na mume au mke wake

HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA. MARA ZOTE WAARIFU HUDHANI HAWATAJULIKANA!
 
Ni kweli sana mkuu, lakini hadi haya yatokee utakuwa umesalitiwa mara kibao tu...! Hakuna tena unachookoa, zaidi ni kuamua tu kushare au kuamua vinginevyo...!

Yaani jamaa litakuwa limeshamchoka. La msingi ni kuaminiana. Hapa mkuu nakuunga mkono na miguu pia.
 
and for this you just get a smile :)
And smile was all I needed.

unajua kuwa some guy can fall for a woman for just the 'taste she has for some stuffs'???lol
naona Kloro ana google miini cooper hapo lol
hahaah The Boss bana
amepata a smile today..so you never know with women ...lol

but kuhusu taste...mbona hata some women pia nimesikia na kuona...
Perfecto

lol unanivunja mbavu mno....
do i appear that way to you???
artificial namna hiyo????lol

hivi wanaume huwa 'tunalipuka pamba'?
sio mambo ya wavulana?high school stuffs? lol
au we still unazimika na 'pamba'? Kloro where are you...????
HA HAAA nimeruka mtego wako naona lol

hehehe jibaba nilikuwa na mteja wa mkaa namserve kidogo. Nimelejea
 
4. Kuzungumzia kuachwa: Kuna wakati mwanamke anaweza kuwa anatoa kauli za kuonesha kwamba, kama mwanaume anaona vipi , wanaweza kuachana. Kama kila penye ugomvi kidogo tu mwanamke anakimbilia kusema, ‘kama ni kuachana, tuachane tu’ hiyo inaweza kuwa ni dalili mbaya kwa mwanamke anayetoka nje ya ndoa kwa sababu hana tena upendo na mumewe. Lakini pale ambapo mwanaume ni mkorofi, kauli kama hizi zinaweza kutolewa, hata kama mwanamke hatoki nje ya ndoa yake. Kwa hiyo kabla ya kumtuhumu, mwanaume anatakiwa awe mkweli kwa nafsi yake kuhusu anavyomtendea mkewe.

8. Kuanzisha vurugu: Kuna wakati mwanamke anayetoka nje ya ndoa huanzisha vurugu za makusudi na mumewe. Lengo la kuanzisha vurugu hizo ni ili apate nafasi ya kujifanya amezira na kuondoka nyumbani kwa muda. Huo muda anapoondoka nyumbani kujifanya kakerwa na vurugu hizo ndiyo muda ambao anautumia kwenda kwa hawara yake

Ndio maana imeandikwa, mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake mwenyewe. Hizo mbili nilizonukuu hapo wanawake wengi huingia kwenye matatizo makubwa kwa tabia hizo. Wanasahau kwamba mwanaume anaweza kuwa anaona raha ''kula mke wa mtu'' tu basi. Lakini mwanamke huyo akishaachana na muwewe anaweza asimwone tena huy mwanaume. Anakuwa anapendwa pale anapokuwa ndani ya ndoa au mahusiano; anapoachwa anakosa thamani!
 
Dalili nyingine ni hii, Ukishika simu yake anakuwa na wasiwasi au anakuwa mkali. Hali hii hujitokeza pia kwa wanaume wasiowaaminifu hasa kama alisahau kudelete sms.
 
Hivi kuna mwanaume anaweza kuvumilia mke anayepokelea simu chooni.
Nakumbuka kuna siku nilitoka nje kuongea na simu na ilikuwa inatoka kwa mdogo wangu tulikuwa tunateta mambo ya home mbona hubby alinipokonya simu nilivyorudi tu ndani.

Wanaume ni too possessive. Ujinga wa sijuhi 'simu ni personal' tunakubali sisi wanawake si wanaume.

Umeona eeh! eti waifu anaenda kupokelea simu chooni halaf aschunguzwe. Mimi nachunguza yeye na ukoo wake wote!
 
Hiyo namba 1 waifu wa mjombaangu anayo sana hiyo acha nianze kukachunguza, kanajifanya kanaenda saluni , kwanza kanachelewa, halaf kakiludi manywele yako vile vile kanajifanya kuna mteja kamaliza mafuta saluni kameambiwa kalejee tena sku ya pili, na mjomba nalo utaona linacheka tu limeriziika.
Wanawake bana!

ahahaa,klorokwin bana,msaidie mjomba wako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom