By Chris MfulaUshindi wa CHADEMA kuingia ikulu 2015 umeonyeshwa leo huko Zambia kwani hadi hivi sasa matokeo ya uchaguzi uliofanyika leo huko zambia wa urais unaonysha kuwa chama tawala cha MMD(Movement Multipart Democracy) kilicho chini ya Rupiah Banda kiko nyuma kwa kura kwa wastani wa asilimia 16% dhidi ya 78% ya chama cha upinzani cha PF(Patriotic Front) kilicho chini ya Michael Sata, hii ni dhahili kuwa wananchi wamechoshwa kwa kudanganywa na vyama vilivyoko madarakani,, kwa matokeo zaidi fuatilia MUVI TV YA ZAMBIA,,
Hadi naondoka mitamboni matokeo yalikuwa kama ifuaatavyo kwa mikoa yao,
Michael Sata PF, chama cha upinzani Rupiah Banda MMD chama tawala sasa.
10271 2912
9642 2794
20768 3901
14730 4509
20391 3637
10271 2912
14224 3142
13241 2317
9875 1543
16748 4323
15743 2754
Muda huu niko job mwenye matokeo zaidi kutoka MUVI TV atujuze ila hiyo ni salamu kwa CCM kutoka Zambia mnamo mwaka 2015,
Watu wa Zambia wanasema one Zambia one nation, no one can own Zambia Forever si maneno yangu bali ni maneno ya wapiga kura waliokuwa wakiimba ndani ya MUVI TV leo huko zambia.
LUSAKA (Reuters) - Hackers attacked the website of Zambia's Election Commission on Thursday, posting a string of false results showing opposition leader Michael Sata in the lead and causing delays to the release of the official tally.
"The process appears to be slow because the results need to be verified before release," Commission spokesman Cris Akufuna said. Election officials are running double and triple checks with regional counting centres.
According to the latest confirmed tally from 33 of 150 constituencies in Africa's biggest copper producer, Sata had 265,843 votes against 192,936 for incumbent President Rupiah Banda of the Movement for Multi-party Democracy (MMD).
Banda is expected to perform the stronger in the countryside, which is likely to report votes more slowly than Sata's strongholds in the capital, Lusaka, and the Copper Belt, the country's economic heartland.
It is therefore too early to say whether Sata is on the verge of an historic transfer of power in the former British colony, removing the MMD from the presidency for the first time since the end of one-party rule in 1991.
"Results are still being tallied in some constituency centres, and we expect to make significant progress by the end of the day," Akufuna said.
The election was held on Tuesday and it may now take until the weekend for a complete result to be known.
Sata, known as "King Cobra" for his vicious tongue, has toned down his rhetoric against foreign mining firms, most notably those from China. But a victory for the 74-year-old would still cloud the investment outlook for what has been one of frontier Africa's most attractive prospects.
He lost to Banda, also 74, by just 35,000 votes, or 2 percent of the electorate, in a 2008 presidential run-off triggered by the death in office of Levy Mwanawasa.