Dalili za mume anayetembea na "house girl"

marianne

Member
Mar 18, 2011
10
5
Mke ukiona haya jua kuna kitu hakijakaa sawa kati ya baba na dada anayewasaidia kazi za ndani...

DALILI YA KWANZA
Ishara ya kwanza ya mwanaume ambaye tayari yupo ndani ya uhusiano wa kimapenzi na msichana wa kazi ni kupenda sababu za kumwamsha mfanyakazi huyo hata pale anaporudi na kumkuta amelala.

Utakuta baba amerudi nyumbani usiku wa saa sita, mkewe anamfungulia mlango, akishaingia na kukaa, anaanza:
"Dada amelala?"
Mke: "Ndiyo."
Baba: "Mwamshe nimpe kazi f'lani."
Mke unaweza ukamtetea sana msichana, lakini mumeo akasimamia msimamo ule ule.

Sasa utakapomwamsha, akifika, mumeo utamuona anavyojipinduapindua.
"Hii mboga umepika wewe dada?"
"Hapana, mama."

"Ooo. Ulifua zile soksi zangu?"
"Ndiyo baba."
"Sawa kalale."
Mke unajiuliza, sasa kumwamsha kote kule ndiyo maswali yenyewe hayo tu.
Sasa tuendelee…

Katika hali kama hii, wewe mke jaribu kuwa makini sana. Hakikisha hutoi nafasi kwa mumeo kumfikia au kuwasiliana na hausigeli kwa kitu chochote. Kama ni maji ya kuoga tenga wewe, vitu ambavyo vinawezekana kufanywa na wewe vitimize ili kuukata uhusiano hata kama utakuwa hujathibitisha kama upo!

Tatizo kubwa ni kwamba, wanawake wengi siku hizi wanawafanya wasichana wa kazi ndiyo wenye nyumba, wao wasaidizi, wakati zamani, hausigeli ndiye msaidizi wa kazi za ndani, mambo mengine yote ni kwa akina mama wenyewe.

DALILI YA PILI
Ishara hii inatakiwa mke mwenye utambuzi sana, yaani awe na ufahamu wa hali ya juu vinginevyo anaweza kukurupuka na kumbwatukia mumewe kumbe hana habari na msichana wa kazi.

Ila kwa wale ambao wana uhusiano sasa, ukimwona mumeo ana tabia ya kuchelewa kulala eti yupo sebuleni, mke changamka, hapo pana jambo.
Mume anayefanya hivyo hutoa nafasi kwa mkewe kwenda kulala na yeye kunyatia chumbani kwa hausigeli kuduu naye.

Sasa endapo mke utakwenda sebuleni na kumkuta mumeo anajifanya kukodolea macho tivii ili ujue anaangalia vipindi, jaribu na wewe kuchunguza aina ya kipindi, ukikuta ni taarifa ya habari ya Sky News,CCTV, CNN, BBC au Al Jazeera, ujue huyo mwongo tu, hana lolote.
Lakini usiishie hapo, jifanye na wewe unakaa pembeni yake kuangalia taarifa hiyo ya habari. Utamuona yeye anasimama na kusema…

"Tukalale mke wangu."
Kama wakati wa kwenda kulala wewe utatangulia, yeye lazima aingie chooni kwanza, anajifanya anajisaidia haja ndogo lakini anachotaka ni wewe uingie chumbani, yeye aingie kwa hausigeli ili ampige busu japo moja tu, maana anajua dili limeshatibuka.
Lakini dalili hii ni kwa mume ambaye hapo nyuma hakuwa na tabia ya kukaa sebuleni peke yake na kuangalia tivii.

Kwa upande wa hausigeli aliye katika uhusiano na baba mwenye nyumba, huwa hivi…
Wakati baba amekaa sebuleni usiku akiangalia tivii ‘kiuongo', yeye anaosha vyombo nje, tena si ajabu amevitawanya kiasi kwamba, kama ni kumaliza ataweza kwenda hasi usiku wa manane.

Na kila baada ya dakika tano, msichana huyo ataingia ndani na kupita mbele ya baba. Lengo lake ni kusoma mazingira kama mama mwenye nyumba amelala.

Kwa vile wao si waanzaji (kama ilivyo tabia ya mwanamke), basi unaweza kumwona anashikashika vitu vya sebuleni, kama vile kuweka sawa vitambaa vya makochi (japo ni usiku), kufuta meza, kabati au wakati mwingine kupanga CD za muziki au filamu ambazo zipo kwenye shelfu lake. Mambo hayo anayafanya huku vyombo vikimsubiri nje!

Hapo anachotaka, baba amuone kirahisi na kuanza kumtekenya-tekenya, kumshika-shika hatimaye ‘kumalizana'.
Utashangaa, ukifuatilia sana, utakuta hausigeli akishamalizana na mume, vyombo anaviingiza ndani na kuvimalizia kesho yake asubuhi.
Kwa maana hiyo pia, wake za watu wawe macho na wasichana wa kazi wanaoshindwa kumaliza kuosha vyombo usiku.

MAENEO YA UFUSKA
Kabla sijaendelea na dalili ya tatu, ni vyema niweke wazi maeneo ambayo ma-baba wenye nyumba ndiyo hupenda kutumia kufanya mapenzi na wasichana wa kazi.
Ni vigumu sana kukuta wawili hao wanamalizana sebuleni (ingawa inawezekana sana) kwani ni eneo hatari kuliko yote ndani ya nyumba.

Uchunguzi wa kina wa kimazingira umegundua kuwa, kati ya maeneo hatari kwa fumanizi ndani ya nyumba ni sebuleni.
Wengi waliowahi kufumaniwa, mfano mume kula uroda na shemeji yake (mdogo wa mkewe) au binti kuliwa uroda na hausiboi, ilikuwa sebuleni.

Aidha, sebuleni ndiyo mahali panapofikwa kwa mara ya kwanza na watu waliolala ndani ya nyumba kuliko sehemu nyingine yoyote.
Kwa hiyo, mababa wengi sasa hukwepa sebule na kwenda chumbani kwa msichana, stoo, bafuni, jikoni kama liko pembeni na uani, hasa maeneo yenye vificho kama nyuma ya karo au kama kuna sehemu kumesimamishwa vitu chakavu.

Chooni si sana kwa sababu ni eneo linalofikwa na watu kila wakati karibu usiku kucha.
Sasa hatari ipo hivi, mke asiyejua haya, kama mumewe ataendelea kimapenzi na hausigeli, hufikia wakati uhama nyumba. Namaanisha kwamba, hufika mahali wakitaka kukutana kimwili, wanakwenda gesti.

Gesti zao mara nyingi ni nyuma ya nyumba au mtaa wa pili, huwa hawaendi mbali sana kwa kuogopa muda wa msichana kufanya kazi za ndani.

to be continued.....

Thnx to Kungwi Globo.
 
Yaani from the numerous threads , I have read thus far.Hizi ndoa za siku hizi, seems to be more work than fun kwa wanawake. Maana wewe, uwe on guard na
1. kijihadhari na nyumba ndogo
2. Uwe makini na house girl
3. Marafiki wa mume wako
4. Kuombwa mapenzi kinyume cha maumbile
5. Kissing mama mkwe's a**
6....................................

Anyways ahsante kwa kutujuza Marianne
 
yaani from the numerous threads , i have read thus far.hizi ndoa za siku hizi, seems to be more work than fun kwa wanawake. Maana wewe, uwe on guard na
1. Kijihadhari na nyumba ndogo
2. Uwe makini na house girl
3. Marafiki wa mume wako
4. Kuombwa mapenzi kinyume cha maumbile
5. Kissing mama mkwe's a**
6....................................

Anyways ahsante kwa kutujuza marianne

nemo i think i like you

but you sound too perfect .......lol
 
lazima ndo kamchezo kako
 
Yaani from the numerous threads , I have read thus far.Hizi ndoa za siku hizi, seems to be more work than fun kwa wanawake. Maana wewe, uwe on guard na
1. kijihadhari na nyumba ndogo
2. Uwe makini na house girl
3. Marafiki wa mume wako
4. Kuombwa mapenzi kinyume cha maumbile
5. Kissing mama mkwe's a**
6....................................

Anyways ahsante kwa kutujuza Marianne

It is human nature - I mean kuyapa kipaumbele mambo mabaya zaidi ya mazuri. Ndio maana mtu anaesema udaku hadharani watu humpa "attention" kuliko muhubiri wa injili. Ndio maana magazeti ya udaku yanauzika sana kuliko kina "Financial Times".

In the same light, habari juu ya ndoa nzuri haziletwi hapa (ajaribu mtu kuleta habari inayoashiria mambo kuwa mazuri ndani ya ndoa yeyote -hata kama ni yake- na ataelewa ninachokisema), ndio maana unayasoma yote hayo unayoyasoma. Kwa ujumla mambo mabaya huvuma zaidi ya mema (jiulize: Ukimuona Mtoboasiri siku ya kwanza akiwa amelewa na anakwenda haja ndogo hadharani halafu kesho yake ukamuona ametinga "Suti ya pande tatu" amesimama na Obama pembeni, kipi kitakuwa cha kwanza kukiwaza juu Mtoboasiri?)

The fact is: Ndoa si experience mbaya kama wanavyotaka watu uamini. Watu tumeumbwa tofauti, kwa hiyo hatuwezi kufikiri au kutenda sawa sawa. Kwa hiyo kusema, wanaume wako hivi au wanawake wake vile ni "generalization" ambayo haiwatendei haki watu wengi kabisa kwenye jamii zetu. Kutoelewana ndani ya ndoa au mahusiano si jambo la ajabu hata kufikiria "negatively" juu ya ndoa, mbona tunagombana na ndugu zetu wa damu na hatusemi kuwa na dada au kaka ni matatizo matupu? Watu tunagombana JF na hatujawahi hata kukutana physically, itakuwa watu mnaoonana kila siku! In fact, a certain level of conflict is healthy in any kind of relationship - social or proffessional.
 
Mtoboasiri:
I halfly agree with you:
1. It is true that ndoa may not neccessarily be all that bad
2. However, it can never be parrallled with sibling/blood relationships. One cant help who his/her family is so huwezi kuwaepuka, whereas ndoa ni _______________________
 
Yaani from the numerous threads , I have read thus far.Hizi ndoa za siku hizi, seems to be more work than fun kwa wanawake. Maana wewe, uwe on guard na
1. kijihadhari na nyumba ndogo
2. Uwe makini na house girl
3. Marafiki wa mume wako
4. Kuombwa mapenzi kinyume cha maumbile
5. Kissing mama mkwe's a**
6....................................

Anyways ahsante kwa kutujuza Marianne

Siku hizi hamna ndoa, ni ndoano. Watu wanaishi kama wanaigiza vile. Sasa baba mwenye nyumba kwa kabinti ka kazi unafata nini?
 
Nahisi imefika hatua ukiwa kwenye ndoa...priority namba one ni mume asitoke na mwanamke mwingine.....!!!
Ukiwa ofisni,kanisani,jikoni,kitandani mawazo yanazungukia kwenye possibility ya ana cheat, ana chitije na nani? kuna maisha kweli hapo?
Have fun people,life is too short to worry that much about men....!!
 
Back
Top Bottom