Dalili za Jei Wii kuitwaa Zenji sasa zinaonekana wazi wazi kabisa

President Elect

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
693
212
Jana tumeshuhudia polisi huko visiwani wakiomba msaada toka vikosi vingine vya ulinzi na usalama baada ya kuzidiwa nguvu. Hali ni tete ikiendelea, huenda majeda wakatumia mwanya huu kuitwaa zenji jumla na kuzima chokochoko za kuvunja muungano.
 
mweshimiwa yuko oman kwenye mikutano ya kuitangaza nchi babaangu hawezi kurudi mpaka siku ziishe hata tuchinjane tubaki 2
 
God shall see us through Gloriously,wao wanataja pesa na nchi za kukimbilia sisi tunalitaja jina la Bwana,mkono wa Mungu haukimbiwi maana uko mahali pote,wasidhani watasalimika kwa kutoroka nchi,wana wa Gadhafi walikimbia nchi lakini walikamatwa.Kwa kumtegemea Mungu wetu mwaminifu tutashinda
 
Nachelea kuamin km jeshi letu la police na askar wote wa tz,maafisa usalama na hata makamanda wote wa nchi wanashindwa kuueleza umma nini chanzo cha mitafaruku hii'UKIUDHARAU MWIBA MGUU HUOTA TENDE"
labda wanatusubir wakristo uvumiliv utushinde tupo watupg
 
Akipelekwa 'kamanda' wangu Ramadhani Ighondu aliyemteka Dr. Uli atatuliza kila vurugu huko zenj
hiv yule jamaa aliepotea zenji ameonekana?

hiv kule kuna mwambepande au wamemtosa baharini?

manake km wamemtupa baharirin ndo hivyo tena
 
bora wajeda wachukue nchi tulale saa kumi tuzidi kuzaaana
 
Jana tumeshuhudia polisi huko visiwani wakiomba msaada toka vikosi vingine vya ulinzi na usalama baada ya kuzidiwa nguvu. Hali ni tete ikiendelea, huenda majeda wakatumia mwanya huu kuitwaa zenji jumla na kuzima chokochoko za kuvunja muungano.

Nchi haina rais
 
Back
Top Bottom