Dalili ya kuonekana sayari,leo tarehe 27 ninaiona wewe je?

Thinker96

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
311
66
wakuu habarini,huku mie niliko mwanza naona tangu mchana kuna hali ambayo tangu kuzaliwa kwangu nahis cjapata kuona maana mchana mishale ya saa7 nimeona jua likiwa limezungukwa na kitu kama upinde wa mvua ambao pia co wa kawaida ule tuliozoea wengi wetu...tafadhali mliopo sehemu nyingine tupasheni habari.
 
niko morogoro sioni kitu mzee
 
Back
Top Bottom