Dalili kumi za kukuonyesha kuwa mwenzi wako ana-cheat...

Jana kuna rafiki yangu kanipigia simu anachozungumza hata sielewi eti "Fanya juu chini nikukute hapo packin mi nimechoka kukusubiri hapa muda wote" Baada ya dakika 5 akanipigia kuwa alipiga na kuniunganishia unrelated issue ikiwa ni mbinu ya kutoka hapo kwake ili akameet na kidosho mpya!!!

Wakati mwingine ananitumia msg kuwa nimpigie apokee kwa kukata.. kumbe anapokata anajifanya ndo amepokea then anaunganisha maongezi mengineeeee ambayo yatampumbaza shori!! Duniani jamani acha tu!!

Hii hata wasichana wanafanya mbona.....l.o.l.......we share tricks....l.o.l
nimekuudhi nini mbona kimya?
 
LOL, wanajua ID yako? Au unamwogopa Mchungaji?

Hebu ni-PM story yako mimi nitaibandika kuwa inatoka kwa "Wana JF ambaye hakupenda jina lake litajwe"
Umeshaweka ujanja hadharani!Ungenipm hamna ambae angejua!
 
Kuna rafiki yangu nilimsimulia shemeji yako haeleweki siku hizi nahisi ana small house. Akanambia mbona rahisi. Kaniazima audio recorder yake ndogo sana na ina uwezo wa kurekodi 76 hours na betri yake inakaa zaidi ya masaa 12 ikiwa full charged. Nikaificha chini ya kiti cha gari jumamosi moja. Nikasema ngoja nijiridhishe kwani ni vibaya kumuhisi mtu labda wasiwasi wangu. Aisee kwenda kuichukua kesho yake mbona nusu nizimie. Jamaa anaaga anaenda kupata na friends kumbe kuna small house. Alikuwa mdogo ila was lucky kwani alikuwa bado hajanogewa. The relationship was just one month and a half. Mazungumzo yote niliyasikia mpaka wanazima gari nadhani waliingia guest. After kama six hrs gari imewashwa karudishwa kwake wenyewe wanabwabwaja bila wasiwasi kumbe nawarekodi. Niliumia sana. Yaani mpaka nilijua jina la binti na anafanya kazi wapi. Niishie hapo isije ikawa mwenyewe yumo humu maana ilikuwa balaa. I love the recorder was so helpful.
 
Back
Top Bottom