Daldo wa Ngorongoro anakera, sijui nikamshitaki wapi?

Yale yale!Kwa kuwa we umenyimwa gawio la huo ufisadi,ndo unaanza kutoa siri! Anyway km una uchungu na nchi hii andika barua ya siri,tuma kwa RAS-ARUSHA,na kwa katibu mkuu tamisemi,wape kopy mkurugenzi na mbunge wako.barua iwe na facts na si longo longo unazozisema hapa!hapo yupo mmojawapo ata act !ikishindikana tafuta namna na wewe ufaidike na ufisadi huo!
 
umempa ushauri mzuri tena kwa kumpa msaada zaidi kama ana ushahidi apeleke hapa www.wananchi.go.tz
 
Rugas

Hizo ni dhana potofu unataka kutuaminisha kuwa wakina Dr. Slaa, Zito, Mbowe, Lipumba, Sita, Mwakyembe na wengineo wengi wanaopambana na mafisadi nao wamekosa hiyo fursa ya kufisadi hii nchi. Kuwa makini bro anayeumia ni bibi na babu zako waliomzaa babako na mamako waliokuleta wewe duniani kushabikia fedha za kifisadi.
 
Hao unaotaka kuwapelekea kesi yako nao pia ni mafisadi.

Si vema kumkatisha mtu tamaa. Nijuavyo mimi inawezekana kumshitaki,japo hajaweka wazi anamshtaki kwa kosa gani. Pengine name and shame inaweza kuwa mbinu mojawapo ya kumshitaki
 
Si vema kumkatisha mtu tamaa. Nijuavyo mimi inawezekana kumshitaki,japo hajaweka wazi anamshtaki kwa kosa gani. Pengine <b>name and shame </b>inaweza kuwa mbinu mojawapo ya kumshitaki
<br />
<br />

name and shame unamaanisha nini?
 
Ndugu yangu usipoteze muda kumfuatilia huyo DALDO. Kwa mfumu uliooza kama huo ulioueleza, utaishia kugonga ukuta tu!
 
Back
Top Bottom