DALBIT jamani mtatumaliza!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,849
13,136
View attachment 69075
Nimekuta hii ajali jana 22/10/2013 sehemu za msitu wa Sao Hill, hii gari ya Dalbit imehama na kumbamiza hiyo gari nyingine uso kwa uso!

Hiyo yellow vehicle yuko site yake lakini ndiyo amebamizwa vibaya na sidhani kama kuna watu walipona gari zote mbili.
 
nasikia ya RZ1 kweli... waliua reli ili hayo yafanye kazi lakini yanaharibu barabara na maisha ya watu kama hivyo
 
usingizi kwa madereva barabarani unahusika na mambo ya kafara pia yapo full mizengwe madereva wa malori wanakutana nayo. Pole kwa familia zao.
 
Jamani ni Kama Ajali nyingine Dalbit haina uhusiano na JK hata chemba is Kenyan based company it's all over Sudan, Congo, Mauritius etc and HQ is Nairobi
 
Uzuri kubwa kwa kubwa,kuliko angemvaa mwenye ka-gari kadogo kama km mpiga picha wetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom