Daladala

1. Sura siyo roho.
2. Unga robo usicheze mbali.
3. Siraha ni hela kisu mzigo
4, Ubishoo bila hela sawa na kuwa na upara bila elimu
hiyo "sura sio roho" kama linapitaga njia ya kwetu. the teh
 
*utakula ulikopeleka mboga
*aliyerazimiswa hafurahii
*we majungu sisi kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom