daladala

guccio

Senior Member
Feb 20, 2011
137
22
pga pcha unapanda basi alaf unaskia harufu ya samaki wa kukaanga..unaangalia huku na kule hakuna ndoo wala box amblo mayb hao samak wamefungashwa humo...njaa kali,samak hujara cku nyng,basi tabu 2pu..
 
!!!!!!!!!!!!!!!!?????
 
????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
pga pcha unapanda basi alaf unaskia harufu ya samaki wa kukaanga..unaangalia huku na kule hakuna ndoo wala box amblo mayb hao samak wamefungashwa humo...njaa kali,samak hujara cku nyng,basi tabu 2pu..

Njaa tu inakutesa!!
 
????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!...........................
 
pga pcha unapanda basi alaf unaskia harufu ya samaki wa kukaanga..unaangalia huku na kule hakuna ndoo wala box amblo mayb hao samak wamefungashwa humo...njaa kali,samak hujara cku nyng,basi tabu 2pu..

Mie nilifikiri kuna kitu ulitaka kusema nikakuta sicho. Nilifikiri ungeishia hivi: unaangalia huku na kule hakluna ndoo wala box ambalo hao samaki wamefungashwa humo... konda anapita, unagundua hiyo harufu yatoka kwenye kikwapa chake! (ungemalizia along these lines ingenoga ile mbaya!)
 
bwahahahahahahaha daah...we mkare,nimeikubali
 
Back
Top Bottom