Daladala za mbagala

Kibwebwe

JF-Expert Member
Jun 26, 2012
820
206
Wakati watu wanagombania kupanda kwenye daladala za mbagala kama ilivyo kawaida, babu mmoja akawa ameingia kwa ulaini akapata siti,..mara konda anamuuliza babu' unalia nini sasa' babu akamwambia mjukuu wangu nina miaka miwili napanda daladala hizi sijawahi kupata siti, yaani naona kama bahati ...konda akacheka sana akamwambia babu inuka siti ya dereva hiyo.
 
Hueleweki, oh mara babu kapanda gari kakaa konda kamuuliza mbona unalia inamaana mtu yeyote anaepanda gari na kukaa anaulizwa na konda unalia nini bila kuonekana akilia?
 
jukwaa la jokes hili mbona waminyina.
 
Back
Top Bottom