Dala dala na utanuaji.......aaaaargh inakera!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,171
View attachment 67846
Umenunua kamkoko toka Dubai ka kupunguza makali ya daladala.
Wewe na mamsap mnakula kiyoyozi taaartibu mkielekea mujini, ghafla bin vuu, ze daldala mtanuzi anakubamiza ubavuni tokea mlango wa kushoto.
Mimi hapo namkata miguu dereva daladala asiendeshe tena!!!
 
Mimi sijawahi kuona nchi isiyofuata utawala wa kisheria kama Tz. Askari kwa mfano wa Mbagala, wanajifanya wanaongoza magari lakini daladala zimejaa katikati ya barabara na askari wanalazimisha magari yanayopita kujibana pembezoni kwa ajili ya kuwapa upendeleo daladala.
 
View attachment 67846
Umenunua kamkoko toka Dubai ka kupunguza makali ya daladala.
Wewe na mamsap mnakula kiyoyozi taaartibu mkielekea mujini, ghafla bin vuu, ze daldala mtanuzi anakubamiza ubavuni tokea mlango wa kushoto.
Mimi hapo namkata miguu dereva daladala asiendeshe tena!!!
Dawa yao hao ni hayati Alhaj Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, hata kama hayupo ameacha wajukuu zake waulize watakupa.
 
Dawa yao hao ni hayati Alhaj Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, hata kama hayupo ameacha wajukuu zake waulize watakupa.
Kweli kabisa Ditopile Mzuzuri alikerwa sana na tabia hii hadi kumtwanga risasi dereva wa dala dala
akini ukweli dereva huyo alimchomekea kwa staili hii hii.
 
Barabara zenyewe hata mstari wa kati hakuna
Kwa sie madereva wa siku nyingi barabarani ku-overtake toka kushoto ni mwiko kabisa. Barabara za zamani wala hazikuwa na markings lakini watu waliendesha kwa heshima kwa vile walipitia mafunzo ya udereva.

Leo mjini DSM madereva wengi barabarani wana leseni za kununua na si mafunzo.
 
Back
Top Bottom