Daktari Pekee wa upasuaji wa watoto wachanga Muhimbili aondoka

takwimu za uongo!!!!!!!!!!!pengine u daktari,lakin huo ni uongo mtupu,we have more specialista than what u mentioned,b kin!!!!!!hata wahuni cku hiz ni maspecialist.

yes, ni daktari..na ni takwimu za W/Afya 2011... tunaongelea SPECIALISTS hapa na sio GP(General Practioner)/MD yaani daktari wa kawaida...ukibisha kesho nenda Wizara ya Afya ulizia/tafuta mwenyewe.
 
Mi nawashangaa sana watu humu!

Mlitaka rais akubali kulipa mishahara ya milioni 3.5 kwa hawa madaktari wapya? halafu hao mabingwa tuwape milioni 15?

Aisee kama ndio mishahara ambayo italipwa na Chadema hiyo basi tuwa fast track Ikulu maana na mimi naweza kulipwa milioni 20 wakati huo (Sarcastic)

Uki-reason kwa reasoning kama yako mshahara ni 3.5mil..lakini mshahara siku zote unazungumzika(it's negotiable) kati ya mwajiri na mwajiriwa..hivyo Serikali ilipaswa kuja na pendekezo lao na kujadili na sio from nowhere "hiyo haiwezekani"
 
Uki-reason kwa reasoning kama yako mshahara ni 3.5mil..lakini mshahara siku zote unazungumzika(it's negotiable) kati ya mwajiri na mwajiriwa..hivyo Serikali ilipaswa kuja na pendekezo lao na kujadili na sio from nowhere "hiyo haiwezekani"

Kwanza hata hiyo 3.5M bado ni ndogo sana.
 
Unataka mwanao atibiwe na daktari ambaye amefeli ame disco chuoni?
Kujuwa kwingi mbele kiza, huyu MD Doctor tayari, KCMC alikwenda kusoma ili awe specialist, na kisa cha kutomaliza masomo mimi najuwa si perfomance ya Dasani bali ni tabia zake nje ya darasa, mkuu hivi mpaka leo una fikra finyu kwamba kila aliyedisco kichwani hamna kitu?
 
Tuna kazi kubwa mpaka tuwe na maendeleo ya kweli changamoto tuliyonayo ni kutafuta njia ya kuondokana na matatizo yetu. Je ni kubadilisha uongozi au kukifuta chama kilichoyasababisha/yaleta?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom