Daktari Pekee wa upasuaji wa watoto wachanga Muhimbili aondoka

je umesoma habari vizuri? hao uliowataja je ni madaktari wa kawaida..physician au wa upasuaji..surgeon
tafakari....
daktari huyo anaitwa nani?
ni kweli kuwa yuko peke yake mwenye ujuzi huo?
vipi kina dr Swai, fataki,Massawe,Namala nk hawana huo ujuzi?
 
daktari huyo anaitwa nani?
ni kweli kuwa yuko peke yake mwenye ujuzi huo?
vipi kina dr Swai, fataki,Massawe,Namala nk hawana huo ujuzi?

Some between lines ni Surgeon sio tu daktari the likes of prof Massawe etc ni surgeon. Get it.
 
kama ushawahi kuuguliwa na mtoto ukampeleka muhimbili utawajua hawa
kama ni surgeon au peditrician siju kwa hili
what i know ni madaktari
je umesoma habari vizuri? hao uliowataja je ni madaktari wa kawaida..physician au wa upasuaji..surgeon
tafakari....
 
Yataka moyo kuishi na hasidi, sasa waliokuwa wanaponda drs wao wana-afford agha khan! Kuna picha unatamani umeme ukatike ili usione inavyoisha.
 
Wewe ****** unadhani kama si mjombawako kkuendeleza kuaribu system ya tanzania kupitia CCM kwa 50yrs unadhani aya yote yangetokea!!!! nenda kanywe ulanzi na togwa kisha kacheze mdumange, soon mtatuachia nchi yetu uhuru na utakuwa mwisho wa majibu rahisi kwy maswali nyeti!!1
Kumbe Tanzania nzima kuna Pediatric Surgeon mmoja tu sasa humu Jamvini kuna kundi linajitapata kuwa ni wasomi kumbe hakuna kitu porojo tu.
 
swali la msingi ni kwanini utawala wa CCM umefanya kuwe na daktari mpasuaji wa watoto mmoja tu.. hii peke yake ni kashfa. Kashfa haiko kwenye yeye kwenda sehemu nyingine Tanzania kwani huko anakokwenda bado atahudumia Watanzania. Miye tatizo langu ni kwanini yupo mmoja...labda tuwaulize madaktari kwanini hawajaingia kwenye eneo hilo kwa wingi..? ( I think I have some ideas...)
 
Wa Tz hatuna shida na madakitari , kwani hata jk nae si dr, dr ,dr au nimechanganya mambo naomba mnijuze.
 
natamani mwanaasha na nduguze ndio wawe wanaugua ghafla ili wakishtuka kuwapeleka india inakuwa too late, lazima wangejifunza kuwatahmini wataalamu wa ndani
 
Katika kuonyesha kuitika mwito wa Rais kikwete aliyetangaza kuwa Madaktari wasioridhika na malipo kiduchu na mazingira mabaya wanayofanyia kazi hapa nchini waondoke, Daktari pekee bingwa wa upasuaji wa vitoto vichanga (paediatric surgeon) ameondoka muhimbili na kuhamia hospitali moja ya binafsi mikoa ya kaskazini.

Hili ni pigo kubwa sana kwa watoto wachanga na sisi wazazi. Sasa mtoto akiwa na tatizo la upasuaji sasa hana tumaini tena la kuishi maana daktari huyu alikuwa anawafanyaia upasuaji watoto wote kutoka nchi nzima.

Ubinafsi huu wa wanasiasa kujineemesha huku wakitukana na kuadharau wataalamu utatumaliza.

Imagine mwanao anazaliwa bila njia ya haja kubwa halafu anakosa kufanyiwa upasuaji wa kuifungua! Mungu atusaidie!

Mzee Mangifera, a.k.a Mangifera Indica, hapa kuna issue kama mbili

(1) Serikali imeshindwa kabisa ku-promote hii sector ya afya zaidi ya kukomaa na siasa na majambo mengine mbali na sector nyeti, hii ni tatizo sana
(2) Inabidi pia waalimu wa Muhimbili waache kubana sana Ma-PG wawaache wamalize shule wapate specialists wengi. Manake Lecturers wa Muhimbili pia wanachangia uhaba wa specialists kwani watu wanakata tamaa hata kurudi ku specialize kwa sababu ya kubana sana hata bila sababu za msingi.
 
.....[/QUOTE]
Bila 7bu za msingi?Unajua madhara ya kupasisha "wenye mapungufu ya kitaalam" ktk kada hii wewe?

Unajua mtu akishakuwa "specialist",anatakiwa awe ktk viwango gani?au unaongea tu.
 
MIMI HUWA HATA NASHANGAA TUNAPOPEWA STORY ZA UDINI SASA SWALA KAMA HILI WAISLAAM KUNA DR WETU KABAKI KWA NIABA YETU?:director:
 
Kama kuna muhusika anasoma thread hii anisikilize kwa makini, Namfahamu vyema Dr Catherine Mng'ong'o alimfanyia oparesheni mtoto wangu.

Sasa nawashauri Serikali kuna daktari wenu huku mtaani anaitwa Dr Kabote mlimdisco KCMC wakati anachukuwa mafunzo yake ili awe daktari Bingwa wa huo upasuaji weni, mimi si mtaalamu wa hayo majina.

Dr Kabote mkamfukuza kazi na kodi zetu tulizomsomesha zimegeuka useless, yuko mtaani anakunywa pombe tu 24/7. pls namfamu huyu Dr Kabote kweli ni mlevi lakini pls hebu mrudisheni huyu mtu afanye kazi, kwani nilimjuwa Dr Catherine kupitia Dr Kabote na Dr Catherine akasema Kabote ni sinior sana kwake kwenye hayo mambo ya upasuaji, na ilibidi Dr Kabote ndio aanze kuwa Daktari Bingwa kabla ya Catherine.

Pls nyinyi serikali dhaifu hebu njooni mumtowe huyu Dr huku mtaani analewa tu wakati tumemsomesha kwa gharama kubwa sana.

Nina marafiki Madaktri wengi tu na hua nachukia sana wanapokesha kwenye ulabu, kwa changudoa ama kwa wagonjwa wao waliogeuzwa vimada - hua naona wamekosa maadili mema. Sasa huyu daktari wako tayari umesema anakunywa pombe 24hrs/7days (pays cash ama anakopa?) kumrudisha kazini ni sawa tu na kuua zaidi thamani ya hospitali zetu - naamini kama anajiamini tayari angekua na kazi mahala.

Pia sio lazima akatibu kama mwenyewe anapenda kufanya biashara ya kuuza ulevi ama biashara nyinginge. Heshimu chaguo la rafiki yako.
 
....[/QUOTE]
kwa mshahara wa kima cha chini Tshs 13m ni bora aondoke, serikali haina uwezo huo.
 
....[/QUOTE]
Mwana kijiji mie nilitegemea hili mngelipeleka kwenye mikutano ya hadhara ya CDM nakulifanyia maandamano ili kuiuliza serikali kwa nn yuko mmoja. Kwani njia yetu yakufikisha ujumbe kutokana na sera yetu ni maandamano mkuu, au umesahau?
 
Back
Top Bottom