Daktari na manesi wauguzi

molely molly

JF-Expert Member
Nov 28, 2011
317
30
Daktari mmoja wa hospitali fulani huku mkoani alimpokea mgonjwa akiwa na matatizo ya kuvimba bush..then dokta akataja cost za kumfanyia sugery mean upasuaji na apointment ya siku mgonjwa kuja kumit na dokta juma tatu dokta akamfanyia uposuaji na kuanika zile mambo nea dirisha sasa bhana paka siakapita nazo kilichotokea coz ni kosa la kizembe dokta akaamua kuchukua viazi 2 akachonga fresh akampachikia yule mzee ili mzee asishtukie then afta 2dayz akampa dischage sasa mzee akakaa kama mwezi na ujinga ikabidi arud kwa yule dokta dokta akamuuliza vipi mzee umepona ???? mzee akajibu tatizo la kwanza limeisha limeibuka lingine badala yakuota mavuu... naota matembele duuuuu manesi hahahahah!
 
Back
Top Bottom