Daktari bhana!

Wajad

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
1,321
604
Ndo mana wakubwa na wenye fedha zao hutibiwa mbali! Ni aibu na fedheha! Hebu sikia hii: Wewe ni mwanaume. Jirani yako ni daktari mwanaume. Mkeo anapata tatizo la 'K' na kupelekwa kwa huyo dk. na anaifanyia upembuzi yakinifu 'K' ya mkeo. Baadae kila unapoonana na huyo jirani dk. anakuuliza, "Vipi K. ya mkeo inaendeleaje?" Grrrrrrrrhhhhh!!***:.
 
mhh...hata kama ni dokta basi ni wale wa kubebana bebena kama baadhi ya vyuo vyetu hapa bongo!!!
 
Ndo mana wakubwa na wenye fedha zao hutibiwa mbali! Ni aibu na fedheha! Hebu sikia hii: Wewe ni mwanaume. Jirani yako ni daktari mwanaume. Mkeo anapata tatizo la 'K' na kupelekwa kwa huyo dk. na anaifanyia upembuzi yakinifu 'K' ya mkeo. Baadae kila unapoonana na huyo jirani dk. anakuuliza, "Vipi K. ya mkeo inaendeleaje?" Grrrrrrrrhhhhh!!***:.

kimaadili, sidhani kama kweli dr. anaweza kumjibu mtu hivyo!! atakuwa sio dr. huyo
 
usishangae, kuna madaktari wa mwinyi anaosisitiza kwamba ndo wanaohitajika vijijini. Hawakawii kuuliza hivyo maana wale jamaa ni unethical kabisa!
 
Back
Top Bottom