Daktari afumwa akila uroda na mgonjwa.

Gobo Waukweli

Member
Jul 26, 2016
16
11
Daktari afumwa akila uroda na mgonjwa kwenye ward ya wagonjwa.
1469640177479.jpg
 
Kwa maoni yangu kuweka hizi picha mtandaoni ni kuwadhalilisha watu na kuwaharibia heshima yao hasa kwa famili zao. Hawa watu wanastahili kuchukuliwa hatua lakini sio kutangazwa hadharani. Haya mambo yanafanywa na watu wengi sana hapa nchini
 
Back
Top Bottom