Daimond akiri kutoka na Jokate!

Hamna kitu kwa joketi, mimi nilimgonga enzi hizo form iv akiwa mbichi st anthony sec.

acha wivu kwani jokate amekuwa na wangapi haukutwambia umemgonga? leo umesikia diomond ana kula we na wewe unasema umekula? lakini pengine alikupa wakati akiwa mdogo sasa mwenzio anakula vya kikubwa!
 
Uyu angetafutaga tu wa nepi za kanga wenzie, awa wa pampers na maziwa ya unga awaachie wenyewe..watoto wa mujini watamchuna ad domolo lake,shaur yake..yan wamchune ad za kuendea kwa waganga akose..
Ol n ol, wsh hm th best

ungesema mengine ungeeleweka lakini si kumsema mwenzio maumbile yake!
are u parfect?
 
thubutu!! Ako katoto ka tandale mie nikapeleke wapi,atawapata washamba wenzie wa mji.

judi ur too wrong! kwa swala la kupenda ata wewe una huwezo wa kumpenda diomond wala usikatae,pengine hata jo alisema hayo! kupenda hakupangwi ndugu! tena mwanamke akipenda ana penda kweli.
 
Ninge furahi sana kama wachangiaji mge hamua kumpa ushauri diomond wa kuhamua kutulia na kuachana na tabia ya kubadilisha mabinti kwani tuna weza kumkosa! Lakini kinyume chake tunaongelea maumbile,mimi naamini katika wachangiaji hapa wote hakuna mkamilifu hapa ,kila mtu hapa ana mapungufu yake jamani, ata kama tumechukia tuangalie tusije muingilia mungu kazi yake kwani hakuna anaye chagua aumbweje! Ni vizuri kila mtu akajikagua alivyo aone kama ye nimkamilifu. Amani kwenu
 
last time Jokate alisema Diamond is too low kwake! hilo ni tusi kubwa sana kwa wote.

tusi unalijua wewe unayeelewa lugha! almasi pale alihitaji mkalimani! kwa ufahamu wake alidhani ni moja ya wasifu alionao!
 
si vizur kumsema mtu vibaya kwan hakuna anaepewa nafas ya kuchagua azaliweje, vipi wanaozaliwa na vidole zaidi ya normal au mwanamke anazaliwa ana ndevu, ushauri wangu hao girls anaotoka nao hawaendan music ni game kuna ups n down je akifulia huyo kate atamvumilia? Think out of the box
 
siamini thread kama hii @ muuza sura hajachangia

Gold Addict...sina cha kuchangia mkuu!Diamond anakimbiza wewe si unaona wachimba chumvi katika hii thread walivyopanic!sinza kina kanumba watu walisahau majonzi wakaanza kumshangilia msibani,leaders siku ya kuaga alisindikizwa na polisi yaani full ulinzi,juzi dar live kaitapisha,katua na helicopter,kachukua mamiss tanzania namba moja na namba mbili wake (record hiyo hamna msanii yeyote duniani aliyewahi kufanya),mlimani city alichokifanya sina haja ya kusema!.....
 
Last edited by a moderator:

umesahau na mashabiki walivyomuomba wasukume gari lake mpaka kwake tokea makaburini,akalizima wakaanza kulisukuma kweli naskia mpaka mwenyewe akawakataza..kweli wakati wake huu dogo!
 
Mimi mbishi ila diamond kipindi hiki nimemvulia kofia!kuna matukio nikiweka hapa michimba chumvi italeta kujuana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom