Daimond akiri kutoka na Jokate!

Hakuna jipya, kama kusoma hatuwezi picha tulishaziona, atambae zake huko.....
 
Tandale, Masaki.......Does it really matter? Kwa maana nimelelewa Tandale miye mshamba? Mwacheni Jokate na ''Mr wrong'' wake wale bata. Nyiee ma snobs sitidowni.
 
Hapa ndo kina riz one na wabishi wengine wanapowacheka ujinga madogo design hii ya kina diamond!wanawagongea kibingwa bila kujitangazia hao kutwa kujitangazia katika media
 
we nawe usiwe falaa.yan anavyofanya hivyo unaona poa.mbona wengne wanafanya kmya kmya,au we n ndugu yako nini?

Wewe kweli kauzu zaidi ya dagaa aise! Au unataka dogo wa Tandale apumzike kwako?
 
Akichezesha taya na mwandishi wetu wa GPL,platnum aka sukari ya warembo alikiri kwamba anatoka kimapenzi na mchuchu huyo(Mamaa wa kidoti),diamond alisema anampenda na hakuna kitu kitachoweza kuwaachanisha!

Source:Gazeti La Ijumaa(GPL)

kong we 2lia tu kwan anakawia? Utasikia tu
 
Huyu jamaa ni mjinga kweli mm nilifikiri amejifunza kwa yale yaliyomkuta kwa Wema Sepetu,hivi wewe Almasi unaweza ukammudu huyo mtoto Jokate wamashindwa magwiji ya tasnia ya ngono utaweza wewe?mm nafikiri huyu Almasi anapenda tu watu maarufu alafu akibuluzwa anaanza kulalama anamshirikisha mpaka mama yake kazi kweli kweli,jamani wanajamii wenzangu kuweni makini na hawa watu maarufu hasa wasanii wengi wao ni wameathirika msije poteza ndoto zenu!
 
Maana lile domo sijui anatumia mswaki wa namna gani mpaka asafishe lisitoe harufu. Nusu ya uso wa Diamond ni domo

Choyo kinawapa shida sana. Domo, mshamba ...... Hayo yote ya nini, alikuja kuwaomba fedha za kutoka nae out huyo Jokate?

Simple minds!
 
i used ti have so much respect for her but diamond???really???puh-leazzze..the guy is literally trashed allover!!she can do much better than that!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom