Daima utanivulia nguo

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,257
645
Daima utanivulia nguo na kubaki uchi,utakaa juu yangu na kuachanisha mapajayako ukinionesha kila kitu chako tukiwa pekee yetu.Hatutothubutu kiniacha,kwani na kutunzia heshima na raha zako.Ndio maana sina wasiwasi na wewe.Vp leo utakuja au bado hujabanwa.Ni mimi rafiki nikupendae sana CHOO.
 
mkuu nilipoanza kusoma nikafikiri ni kiapo cha dini fulani wakati wa ndoa, nikasema kumbe watu wanaweka nadhili kali....baada ya kumaliza....haha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....lol:peace:
 
Daima utanivulia nguo na kubaki uchi,utakaa juu yangu na kuachanisha mapajayako ukinionesha kila kitu chako tukiwa pekee yetu.Hatutothubutu kiniacha,kwani na kutunzia heshima na raha zako.Ndio maana sina wasiwasi na wewe.Vp leo utakuja au bado hujabanwa.Ni mimi rafiki nikupendae sana CHOO.

Ninaanza kwenda porini. Naachana na choo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom