Akitaka Vitz, unaanza kumnunulia Seat covers kwanza.unamrushia vocha ya buku tu lol
dawa ya hawa 'chuna buzi type' usiwanyime kabisa
unawapa tu robo ya 'anachotaka kukuchuna'
au unaenda gereji kununua used tyes,Akitaka Vitz, unaanza kumnunulia Seat covers kwanza.
:loco:
Khaaa hebu itizame vizuri hiyo message halafu ujaribu kuichambua neno kwa neno ndio utaielewaHivi jaman inamaana me nahonga sana au?yaan hapo hata laki simalizi,hainisumbui kabisa,nadhani tatizo ni pale msichana anapotuma message kama hii kwa mwanaume asie na kazi au mwanachuo mwenzake.
Akitaka Vitz, unaanza kumnunulia Seat covers kwanza.
:loco:
au unaenda gereji kununua used tyes,
Kwangu Mimi haisumbui Nama hivyo vote nikishamtumia tu naganza Zangu.unajua masikini huwa tunahonga said I Julio Tajikistan,coz unaweza mkwepa Hugo sawa laminitis ukiwa na 30 elfu mfukoni na demu mwingine kakuomba 20 unampa kumbe umehonga zaidi ya alsilima 50 ya Akiba Yao.naona hana ghRama Hugo Kama ni mzuri
au unaenda gereji kununua used tyes,
Kwangu Mimi haisumbui Nampa hivyo vyote nikishamtumia tu naanza Zangu.unajua masikini huwa tunahonga zaidi coz unaweza mkwepa huyo sawa ukiwa na 30 elfu mfukoni na demu mwingine kakuomba 20 unampa kumbe umehonga zaidi ya alsilima 50 ya Akiba yako..naona hana gharama Huyo Kama ni mzuri
Ha ha ha
kweli uvulana kazi
maana wanaume mbn wanaweza tu.
kaka ving'ang'anizi haoo utasikia "mmmh baby nlushie vocha basi"
hapo unajibu i love you too baby..
nipo safari kikazi sumbawanga,nikirudi tutaongea..
muaah...