Dah wanaume taabu

pambafu kabisa........halafu hawa ndo wale wanatakaga savana.......wakati wakiwa wenyewe wanakunywa castle lager ya chupa ile kubwaaaa kama mtungi wa fire extinguisher!!
 
Punguzeni mizinga nyie madogo,yaani mnataka mnunue na magari kabisa huko vyuoni!
 
hapo kaka linex anasema usione anapendeza akipita mtaani,ujue nimetoa hela,yaan hawa viumbe wanadhani single part of the body inaweza kuwafanya wafaulu mitego yote ya kimaisha,hasara roho ndo maana wanaume wanatoa tu hela ila madem ndo wanachakaa,naomba love premier league iendelee.
 
Kuhonga 'kipaji'...kama huna we 'mezea' tu, usijitie kuchonga!

Hahahah Riwa imenibidi nicheke kwa nguvu duh.........kwambaje vile? kuwa yeye anachonga kwa kuombwa vocha na chips kuku ilhali watu wanahonga marange!! Kweli wanaume taabu!
 
ishu sio hela hapo
ishu ni 'dakika tatu' au huoni?

Huo ni mzinga mdogo wa kawaida ila kama alivosema boss, tatizo ni hizo dakika tatu. Wanawake wanaokula mema ya nchi kwanza huwa wanajifanya kama hawapendi hela unakuta mwanaume mwenyewe anajikadiria na unakuta bidada anafaidi japokuwa kuna wanaume wengine ukiuchuna na yeye anauchuna lakini wengi kama ana hela kama binti si wa mizinga atakula good time hata kama mwanaume ni kijana(si unajua unavyoonyesha njaa ya hela unakuwa judged tofauti na yule ambae si mtu wa kupiga mizinga maana atakuwa judged kama yupo financially stable kumbe yupo kawaida mwisho wa siku mtu anajiuliza huyu nikimpa wekundu watano hawatoshi embu ngoja niongeze kitita mara kadhaa). TATIZO HAPO NI DAKIKA TATU hivyo kama wewe inabidi utafakari maana unapigwa mizinga alafu unapewa na condition
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom