Dah! Umependeza!

Hapo mie sioni kama kuna ubaya wowote kumwambia mwenzio kapendeza,kwani ukiambiwa na mwanamme/mwanamke mwenzio kuwa leo umependeza anakuwa anamaanisha kukutamani kimahaba?jamani tuache hizo fikra za kingono.
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa si vizuri hasa kwa mtoto wa kiume kumsifu mama yake kuwa eti amependeza, hoja yake ilikuwa ni kwamba utakuwa umeshamthaminisha maza juu-chini-mbele-nyuma kitu ambacho si kizuri.

Kiongozi,

Hii scenario ndiyo nilikuwa najairibu kuielezea hapa. Unapomwambia mtu wa jinsia tofauti kuwa umependeza, mimi nahisi kuna "element ya tamaa inakuwa imekuwaka" i.e. unajaribu kumwambia kimoyo moyo sentensi kama "Yeah ningekuwa single kuna siku ningekutokea" AU " na-imagine umbile lako likoje unapokuwa nguo-less" e.t.c
 
Sijui kwakweli kama alikwambia kitu sahihi manake heshima ya Mama haiondolewi na wewe kumwambia umependeza,

kama ndio hivyo waweza husimweleze lakini bado ukamthamanisha something which is bad

I have to be proud of my mumy kila siku kumwambia....Mumy umependeza sana....live forever Mama
 
wanawake wamezidi sasa kwa akili za ki-ngongo ngono!asilimia 80 ya ubongo wa wanawake katika umri fulani wanawaza mapenzi.na wanatumia muda mwingi sana kujadili ngono.mimi ni mwalimu wa sekondari ya wasichana huku lupembe-manyunyu girls nayajua haya

na huo ndio ukweli halisi
 
The Following User Says Thank You to Masaki For This Useful Post: Pazia (Today)
Eeeh Pazi nimona umegonga senksi hapa kinyume na Masharti uliyokiwekea kuleee...........

Nwayz tuendelee;

Kumsifu mamsap amependeza ni wajibu kwenu WAUME; penda usipende kidume hiyo ni moja ya majukumu yako makubwa tena uwe genuine na umkosoe kwa upendo asipopendeza; ukiacha UTASAIDIWA eeh; Tumeelewana jamani?

Kumsifu dem baki tu! mmh kwangu kidume ni sawa nakupaka mate.... ooops nilitaka kujisahau.......... eeer...KUMRADHI...ok ni mara nyingi unakuwa unajiwekea ukaribu au la unatengeneza mazingira flan! Wakati mwingine ni silaha ya kumfanya jinsia tofauti awe at ease nawe inaweza isibebe any hidden romance!
Well mimi huwa siziamini sana zenu madem kwa madem manake samtymz sio genuine appreciation! mfano eeh Umepungua umekuwa mdada etc etc
 
The Following User Says Thank You to Masaki For This Useful Post: Pazia (Today)
Eeeh Pazi nimona umegonga senksi hapa kinyume na Masharti uliyokiwekea kuleee...........
Nimeambiwa ni ushamba kukataa kupokea au kutoa thanks. Kwahiyo nimeanza kupokea na kutoa rasmi, nikiona post yako imetulia lazima nikupe thanks nimeambiwa ndio utamaduni wenu.

Lakini mbona hakuna batan ya kutoa pole, hata mtu akifiwa mnampa asante pia?
 
Aksante Mkuu Masaki.
Mlta Guiness iliyopoozwa sana!
Au unaogopa ntaleta nzi kwenye meza yako mkuu!..sidhani!
PJ unakunywa hii kkitu? mi naonaga kama Molasesi hivi!
I dont mean ubaya lakini......mimi nakumbuka tulikuwa tunawapa ng'ombe wanaokamuliwa molasesi ili watoe maziwa mengi
 
Hivi midume inaambianaga umependeza?
au ndo ukimwambia mtu umetoka kibunge, unang'aa ndo unakuwa umemwambia umependeza?

Au unaweza kumwambia dume lenzako you look beautful? au utasema you look handsome? kiinglish gani hiki sasa
 
Ila mabinti wanadanganyana sana, unamkuta mtu kavaa nguo duu! inammbana na shepu hana kabisa ya aina hiyo ya nguo kwa mfano visuruale hivi vyeusi vilaini vya siku hizi. Unamkuta mmama dada kapandisha hadi kwenye kitambi akija utazani anarudi wanashindana na vibinti vyao......ila utaikia swt umependeza uemnunua wapi hio??? mimi nawambiaga mweleze ukweli.....anasema atasema na wivu bure.

Kwa sisi wanaume msotly tunasifia mwanamke nguo ikimtoa sex na sio akipendeza. Kwa mfano kimini vile au akiiacha sehemu flani ya mwili wazi. Mfano mama wa kwanza wa taifa kubwa na tajiri duniani lile linalopinga ugaidi na osama kwa ujumla.
 
Kiongozi,

Hii scenario ndiyo nilikuwa najairibu kuielezea hapa. Unapomwambia mtu wa jinsia tofauti kuwa umependeza, mimi nahisi kuna "element ya tamaa inakuwa imekuwaka" i.e. unajaribu kumwambia kimoyo moyo sentensi kama "Yeah ningekuwa single kuna siku ningekutokea" AU " na-imagine umbile lako likoje unapokuwa nguo-less" e.t.c
hahahahaaaaa! hii inahusika. au ukimwambia mtu una mguu mzuri, ujue tayari umeshauangalia na uu-imagine mpaka miguu inapokutania
 
Ila mabinti wanadanganyana sana, unamkuta mtu kavaa nguo duu! inammbana na shepu hana kabisa ya aina hiyo ya nguo kwa mfano visuruale hivi vyeusi vilaini vya siku hizi. Unamkuta mmama dada kapandisha hadi kwenye kitambi akija utazani anarudi wanashindana na vibinti vyao......ila utaikia swt umependeza uemnunua wapi hio??? mimi nawambiaga mweleze ukweli.....anasema atasema na wivu bure..

hahaha hiyo mkuu umewaambia ukweli mtupu. Akina dada bana wanashangaza sana. Mara nyingi mimi hua naona wanasifia tu wenzao hata kama hawajapendeza. Sasa ishakua fake to the extent kwamba hata anaeongea ukweli haeleweki na anaesema ukweli haeleweki. Duh akina dada bana!
 
Wengine wanakuwaga wanafiki tu!!! mafuta kwa mgongo wa chupa
 
......Mie mtu yeyote akipendeza napenda kumwambia ukweli, haijalishi ni nani kwangu.
Vile vile hakuna ubaya wowote kumsifu mtu na kumwambia kwamba amependeza.
 
mahaba MAHABATI!yanaweza kuwepo.i mean hii kitu ni lazima tuwe wazi tu kwakweli....!yupo msomi mmoja wa siku nyingi aliwahi kuthibitisha kwamba
A HUMAN BRAIN IS SEX MINDED!......
Hapa sasa naona kuwaambia akina dada umependeza itaanza kuwa ngumu.
 
m-bongotz alileta ishu ilikuwa ni hii....

Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa si vizuri hasa kwa mtoto wa kiume kumsifu mama yake kuwa eti amependeza, hoja yake ilikuwa ni kwamba utakuwa umeshamthaminisha maza juu-chini-mbele-nyuma kitu ambacho si kizuri.

Pazia akasema hivi....
Sijui kwakweli kama alikwambia kitu sahihi manake heshima ya Mama haiondolewi na wewe kumwambia umependeza,
kama ndio hivyo waweza husimweleze lakini bado ukamthamanisha something which is bad
I have to be proud of my mumy kila siku kumwambia....Mumy umependeza sana....live forever Mama

Lakini kumbe Baba_Enock alishasema hivi......

Kiongozi,

Hii scenario ndiyo nilikuwa najairibu kuielezea hapa. Unapomwambia mtu wa jinsia tofauti kuwa umependeza, mimi nahisi kuna "element ya tamaa inakuwa imekuwaka" i.e. unajaribu kumwambia kimoyo moyo sentensi kama "Yeah ningekuwa single kuna siku ningekutokea" AU " na-imagine umbile lako likoje unapokuwa nguo-less" e.t.c

Basi tena mimi sina tena la kumjibu Pazia
 
Ukweli ni kwamba mtu akipendeza ni ustaarabu kumwambia, lakini kama hajapendeza atakuwa amekuondolea makunyanzi usoni kwa sababu utamwona kichekesho ingawa huwezi kumwambia...
 
Hii ni kawaida kabisa kumpa big up kwa mtu aliyependeza, ingawa kuna wengine wanatumia vibaya ili mradi waseme tu umependeza hata kama hujapendeza. Na kuna wanaume wengine wanatoa umependeza! kwa matamanio yao, eti madai yao wanakusifia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom