dah! ualimu kazi sana, hebu msikilize huyu denti

mwanafunzi angetaja
.wanaokula wanyma wenzao
.wanaokula majani
.wanaoishi juu ya miti
.wanaoishi mashimoni na mapangoni
. wanaoishi majini

Je hilo lingekua jibu ulilotarajia .......???
Nadhani mwishoni nilimalizia na "kidogo ingeleta maana" jaribu tena kuni-QUOTE utanielewa tu.
 
Denti yupo sahihi, vinginevyo mwalimu alitakiwa aulize hivi, "nitajie aina tano za wanyama wanaopatikana porini" kidogo ingeleta maana

sawa sawa na kusema raisi wa tanzania ni....... au kusema kuku ana miguu ..... kwa mtindo huu wa maswali tegemea majibu mengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom