Dah!Sijui Niiteje Hii Title!!?

rehab ni kushonea lastik tu
inarudi kama zamani.

Twende china basi tukanunue hii cherehani ya kushoneshea wadada na wakaka hizo lastiki. Manake wateja wanaanzia magomeni, kinondoni makaburini, corner bar tunamalizia na waume na wake za watu
note: mie nitakuwa napokea hela, wewe kazi yako kushona:flypig:
mateka atatufaa kama marketing manager (angalia hapo juu anavyohoji kama mwandishi wa bbc-teule)
 
sijui nimfundishe na yeye umkomeshe, ajifanye na yeye ana wake anunue line ingine na simu halafu ajitumie, Mume akigundua anatumiwa msg na wataalam wa tiGo atamrudia atatulia la sivyo mm napita nitarudi
 
Twende china basi tukanunue hii cherehani ya kushoneshea wadada na wakaka hizo lastiki. Manake wateja wanaanzia magomeni, kinondoni makaburini, corner bar tunamalizia na waume na wake za watu
note: mie nitakuwa napokea hela, wewe kazi yako kushona:flypig:
mateka atatufaa kama marketing manager (angalia hapo juu anavyohoji kama mwandishi wa bbc-teule)

mnhhhhhhhh
 
juzi tu ulikuwa unakonda kwa ajili ya 'muddy washingtone' lol
leo unafurahia kuwa mseja?

Meaning kama 'muddy washingtone' ni design ya huyo mume wa huyo dada, kumdiss ni rahisi sana. Yaani ninajua ninachotaka kwenye mahusiano, nisipokipata maamuzi magumu ni rahisi kuchukua!
 
mmh huyo dada nampatia picha anavyoiona dunia kama hell,sikio la kufa haliskii dawa!
 
Kuna dhambi zingine hata shetani mwenyewe anazishangaa. Yani anakaa pembeni na kutucheka sisi binadamu.
Sasa huyu mwanaume hata shetani ameishamshindwa hana haja ya kumshawaishi atende dhambi ila yeye anamuomba na kumpigia magoti shetani ili ampatie mtu wa kumla tigo. kweli Dunia imeisha.
 
Back
Top Bottom