...Dah....nimekubali..

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
36,494
76,443
..Nimekubali Dar kiboko...
..Yaan nimeamka Asubuhi na Mapema...lakini maji hakuna..yamekatika...Umeme pia umekatika..nikachelewa kuoga na kunyoosha...

Naingia Barabarani...Foleni....nafika Ofcn ...Lift Mbovu ..mwendo wakupanda ngazi...

hapa niko hoi bin taaban..

Kazi njema ..wakuu

...
 
...pole mkuu...si wa uru kishumundu burudani tupu...hakuna foleni,maji mpaka mlangoni...chemichemi...hali ya hewa burudani pia!...
 
.
.pole mkuu...si wa uru kishumundu burudani tupu...hakuna foleni,maji mpaka mlangoni...chemichemi...hali ya hewa burudani pia!...

mkuu hata mimi hili jiji huwa nakuja mara moja moja ..ila leo nimekubali muziki wa dar..heri yako wewe huko kishumundu
 
Pole na Karibu mjini,
Huu mji bana ili upate unafuu wa asubuhi,
Maandalizi ya kesho yafanye leo,means km ni nguo andaa usiku weka na maji ya kuoga ya akiiba maana kesho hua haitabiriki,toka hm mapema jipe lisaa lizima la kuwa njian kwano folen nayo haitabiriki,
Tuliozoea wala hatupati shida tunaona kawaida tu na maisha yanaendelea.
 
Nimekubali
 
Hujauzoea huo mji bado?
Njoo Mtwara,hatuna mgao.. Tunakula umeme wa gesi wa Mnazi Bay!

Ila maji,ni janga la kitaifa!
 
Hujauzoea huo mji bado?
Njoo Mtwara,hatuna mgao.. Tunakula umeme wa gesi wa Mnazi Bay!

Ila maji,ni janga la kitaifa!
Sio maji tu hata usafiri ni janga la mkoa...
Magari yote yanaondoka saa 6.00a.m so kama ukipata dhalura mchana hupati usafiri na njia ni moja tu kwenda Dar hata kama unaenda Songea
 
Sio maji tu hata usafiri ni janga la mkoa...
Magari yote yanaondoka saa 6.00a.m so kama ukipata dhalura mchana hupati usafiri na njia ni moja tu kwenda Dar hata kama unaenda Songea

Duh.. Kali hiyo!

Jiji nalo huwa na mapungufu yake..
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom