Dah Mei 12 hadi 15...

asante mkuu. sasa tutakua tunapost wapi thread? au tutakua tunacomment facebook? hii hali tutaipatia ufumbuzi tu.

mkuu kule Facebook, noma maana tunatumia majina yetu ya ukweli na tuna picha zetu Lets assume tumepigwa BAN ya siku 3 all members
 
Mbona tutakua wagonjwa wengi, nani atatusaidia? Mie siko feisibuk,itakuaje sasa?
My stress free zone(I mean it) isiwe hewani kwa siku nne wallaih nitakua mautiuti:disapointed::disapointed::crying::sad::sad::sad:
 
Nimeona tangazo lao hapo juu,lakini uzoefu unaonesha kuwa walio wengi huwa hawasomi matangazo hayo labda kupitia njia hii.

tangazo lenyewe ni hili hapa

TAARIFA MUHIMU: Kuanzia Mei 12 hadi Mei 15 tutakuwa na marekebisho makubwa kwenye tovuti hii. Endapo hutotupata, fuatilia yanayojiri kupitia FikraPevu au JamiiForums on Facebook




Mods mkiona nimekosea basi ondoa hii thread

Kumbe na wewe unaanzishaga Thread!
Nilipoiona kabla sijasoma ndani ,nikashangaa kuwa bado ipo hewani.Ila umeandika kiutaalamu kiasi kwamba imeleta mvuto kutokana na kichwa cha habari. Usingekuwa mtundu wa kuremba na kuweka maneno mazuri ungetandikwa ban ya hatari na mkuu wa kambi Paw akipewa support na Kamanda wa kikosi cha JF (aka mwenye mamlaka ya juu Jf) Invisible

Siku njema kamanda shukrani kwa taarifa
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
Asante kwa taarifa, at least KURUGENZI ya IKULU itapumua...
 
Kutegemea habari za magazeti ,Tv na Redio za Tanzania au nje bila JF ni sawa na kuishi Eritrea. Invisible kama unaweza lala mchana uwe unairekebisha usiku ,siye wa vijijini tutakipata
 
Back
Top Bottom