Dah mama mkwe.......................... ...

jorojo

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
1,642
11

Wadau baada ya kuowa miaka mitatu iliyopita ndo ikabidi nikasalimie ukweni, ila nyumba ya mama mkwe ilikuwa kubwa na alikuwa na wapangaji kibao kwahiyo kuna baadhi ya huduma walikuwa wanashea kama choo,bafu na bomba la maji
Sasa ckuhiyo nilikuwa naenda chooni kukojoa ile kufika pale nakuta mototo kachafua choo ajabu yaani hakitamaniki sasa wakati mimi natoka chooni namkuta mama mkwe ananisubiri nitoke naye aingie naminikatoka kimyakimya ila huo mtiti uliyotokea huko ndani ikabidi kesho yake niondoke na aibu yangu japo ckufanya mim
 
Mi nyumba ya mama mkwe angu kama ipo Tandale siendi kulala, naenda hasubuhi jioni naondoka.
 
Pole wajamani, Ungemwelezea tu, si ni mama wa mkeo??, ni sawa na mama yako.
 
Wadau baada ya kuowa miaka mitatu iliyopita ndo ikabidi nikasalimie ukweni, ila nyumba ya mama mkwe ilikuwa kubwa na alikuwa na wapangaji kibao kwahiyo kuna baadhi ya huduma walikuwa wanashea kama choo,bafu na bomba la maji
Sasa ckuhiyo nilikuwa naenda chooni kukojoa ile kufika pale nakuta mototo kachafua choo ajabu yaani hakitamaniki sasa wakati mimi natoka chooni namkuta mama mkwe ananisubiri nitoke naye aingie naminikatoka kimyakimya ila huo mtiti uliyotokea huko ndani ikabidi kesho yake niondoke na aibu yangu japo ckufanya mim

Umetumia lugha Kali sana
Sema haja ndogo
 
Back
Top Bottom