Dah, jamvini? Nilishaga injoy internet za bure mpaka nikachokaa

dfreym

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
342
87
kweli hapa ni patamu bhanaaaa, baada ya wiiki ukibrowse tu, free enternet hacked.
mara e2themia mara nani utasikia ya TIGO, MARA YA VODA, airtel na TTCL ndo BADO. yani mara ya mwisho kujiunga na bundle sijui ilikuwa mwaka gani. na za bure zina speed yani ni shaaaaaa! 2MBPS,3MBPS, Wengine 9MBPS. mpaka unachoka cha kudownload. komputer yangu imejaa DOWNLOADS, MPAKA NIFUTE NDO UNADOWNLOAD NYINGINE.

LONG LIVE Tech, Gadgets & Science Forum LONG LIVE JF.
 
we umeamua kuturusha roho tu hakuna free internet yenye speed hiyo kama ipo iweke hapa tuhakikishe hizo free internet zote zinazo tolewa hapa ni mwendo wa kobe tu
 
we umeamua kuturusha roho tu hakuna free internet yenye speed hiyo kama ipo iweke hapa tuhakikishe hizo free internet zote zinazo tolewa hapa ni mwendo wa kobe tu

hiyoooo hapo chini voda net.jpg ni modem ya safaricom, dashboard ya tigo line kama inavyojisoma hapo. operating systems ni windows 7 , 32bit edition, ila mie nipo maeneo ya wazi na nadhani sina wapinzani.(sina watumizi wengi majirani) kwani nipo kwenye slam area.
 
wazee nimerudi tena baada ya kufanya experiment ya kina. nimegundua hizi line zenyewe zina tofauti , kwa mfano airtel zile line zao nyeupe za mwanzo zile mwisho wake ni 2.1 mpbs. lakini hizi nyekundu ndio mwisho wa matatizo kikawaida napata mpka 5.5mbps. ila ikitokea zari ndio huwa inafika 9mbps na niwakati wa usiku mkubwa.
pili hizi line za voda nazo pia zina tofauti kwa hizi mbili tatu nilizo nazo mimi. zenye chip kubwa (rangi ya shaba au copper kubwa) na zenye chip ndogo. zenye chip ndogo zinafika 5mbps. lakini zenye chip kubwa zinafika mpaka 3mbps only.
i hope na nyinyi itawasaidia hiyo fact. jaribuni mulete feedback jamvini.
ni majaribio na result zangu binafsi done under the same place, same time and same conditions, repeated several times with the same results.
i hope mutaleta feedback nanyi pia.
 
Back
Top Bottom