Skuli nipigwe Ban, mnataka kunichongea kwa mod nipigwe na huku JF ban tena? sa ntakua mgeni wa nani?

Kumbe wewe ni mjinga! Confirmed
Mm ni mwanafunz wa kidato cha tano katika shule maarufu sana hapa nchini, Jana usiku nimekutwa na kasheshe baada ya kukutwa na teacher nikiwa na simu alafu shule yenyewe hairuhusu mwanafunzi yoyote kumiliki simu.
Na nilikua busy kwa JamiiForums nikichangia matopics ya wanaJF.
Sasa, uongoz wa shule umenipiga suspension ya wiki tatu na sijui nitamwambia nini BiMkubwa home?
Aisee mwenye chochote anisaidie nipate cha kumwambia BiMkubwa.

Hawa ndio wanaleta mada ooh kuna jimama Sinza nimelikutata limeinama limejaa shanga kiunoni na jimama maskini yupo nyumbani kwake.Kumbe ndio maana jf siku hizi imebadilika!
Kama unafanya vizuri kwenye masomo yako. Mwambia bi mkubwa hiyo simu ndio hua inawasaidia kujifunza mambo muhimu ambayo walimu zenu wanawabania/kutowafundisha.Pia mwambie hiyo simu si yako ni ya mwanafunzi mwenzio.Ikiwa hufanyi vizuri katika masomo yako...hapo naamin jf ulikua unasoma jukwaa la MMU.Na kule kwenye siasa/udaku.So! Usirejee tena ispokua uwe unajitahidi kusoma kwa bidii zaidi.Kama huelewi/kutofundishwa vzuri mshauri bi mkubwa akuhamishe hiyo school.Ushauri wangu ndio huu.Mm ni mwanafunz wa kidato cha tano katika shule maarufu sana hapa nchini, Jana usiku nimekutwa na kasheshe baada ya kukutwa na teacher nikiwa na simu alafu shule yenyewe hairuhusu mwanafunzi yoyote kumiliki simu. Na nilikua busy kwa JamiiForums nikichangia matopics ya wanaJF. Sasa, uongoz wa shule umenipiga suspension ya wiki tatu na sijui nitamwambia nini BiMkubwa home?Aisee mwenye chochote anisaidie nipate cha kumwambia BiMkubwa.