Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

...Yes, Yes, Yes!!! [/COLOR][/FONT][/SIZE][/FONT][/COLOR]



Hapo HAKUNA Ubishi!! lol.... Dedication to you soulmates in the house.... Toka kwa Celline... "My heart will go on"


 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Usipime dada AshaDii, huwa mara nyingi najiona kama nina bahati ya kipekee sana kumpata huyu mama mtoto wangu, mwanzoni nilihisi nitamzoea lakini kadri miaka inavyozidi kwenda ndivyo nazidi kuoza, sijui kwa upande wake lakini nahisi nayeye ananipenda kwasababu najua anajua ninampenda sana na kwa kunionea huruma hajawahi kuitumia vibaya hii hali yangu kuninyanyasa kimapenzi, Mungu atusaidie kwasababu baadhi ya ndugu zangu wameanza kusema kaniwekea dawa ili nimpende sana, na kama ni kweli basi hiyo dawa nayo nimeipenda.
kawaida sana kwa baadhi ya ndugu kusema maneno kama hayo waakiona watu wanappendana, watu wanapenda sana kuona watu wakigombana ili wapate ya kusema wewe keep on loving her mpaka washangae
 
Bora umesema wewe mimi nimemwambia akang'oe hayo meno, meno utafikiri makaa ya mawe ya mgodi wa Kiwira...lol
Mkuu mimi nipo japo umenitupa,,,,,,, twende kwenye Mada meno yajamaa nadhani walimuwekea ya kiti moto!!mbona yamefanana sana na ya mdudu???
 
wifi,naomba ruhusa kwanza, i need to nurse this nasty hangover. nimekoma kudoea eid kwa watu,kha!
nitarudi
 
Niliwahi kuwa katika hali kama hiyo nambaya zaidi nilikujakutoa uamzi wa ghafla bila kuzingatia kitakachojili baada ya wiki2 kugundua nipo peke yangu ikawa ngumu wiki ya 3 ikawa nikiona simu yake roho inadunda,nikikutana naye,moyo unalipuka lipu,Usiku nikawa silali namuwaza yeye ila nikamwita nikamwambia yaliyopo moyoni yanayonitesa nanikamwambia uamzi niliouchukua unanitesa lakini sina budi kwani ulichonifanyia sirudi nyuma japo naumia nanimekuja kugundua kwamba nilikuwa nakupenda sana!!Lakini nikawa namuomba nikutanae naye tuongee kama marafiki akakubali kwakuwa nilipokuwa sifanyi hivyo nakesha kwenye pc sipati usingizi kabisa Mimi ni JF,Facebook,Baadae akaja kuomba msamaha kwa aliyoyafanya nakwakuwa ilikuwa siyo mara yake ya kwanza alijutia!!ila nikazoea na sasa moyo haudundi kama mwanzo nimetulia.Nasema i was victim!!!


Hii post imenitia majonzi.... Na watu wengi saana they lose they people they love kwa vitu vidogo dogo tena kwa uzembe kabisa.... Mapenzi YANAUMA na hayana dawa zaidi ya Time.... But najua niloongea hapa hakuna jipya for umepitia... BEST OF LUCK Umpate mwingine....
 
True, being in love signs, & are uncontrollable, meaning love is leading human, sometimes vyote hivyo anafanya unexpectedly, unintentionally, free hearted, yaani basi tu yote MAPENZI YAMECHUKUA MKONDO....


Naona Mr. President tupo pamoja katika hili bana... Hayo uloelezea kweli kabisa!
 
yes yes yes yes yeeees the finest. Nina azam cola yako hapa. Lol!
Aunt ashadii shkamoo!



Maraba niece.... Alafu anko wako anakutafuta ile mbaya, kaanza
kukosa imani hata maneno yangu sasa... Leo ulale home!


Haya ninong'oneze "are you in LOVE"??
 
wifi,naomba ruhusa kwanza, i need to nurse this nasty hangover. nimekoma kudoea eid kwa watu,kha!
nitarudi



Jamani pole my best Wifi.... Mie nakwambia kunywa za kike hutaki unataka za akina Sweetie.....
 
All I can say is " I HATE U" Sio lazima useme when you win, sometimes just SHUT UP




hahaha!!! Mapenzi kikohozi dear.... Nitakua nakuangalia ukiwa karibu na Boss.....lol...


AU Ulikua na maana "Hate that I Love you"??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom