Daftari la wapiga kura kuchakachuliwa

The Don

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,499
1,163
Kutokana na upepo mbaya uliokivumia chama cha mapindizi kwa kukimbiwa na kuhamwa na wafuasi wake kuelekea vyama vya upinzani c.c.m imegundua njia mbadala ya kupunguza nguvu ya wapiga kura kwa kutumia daftari feki ktk kipindi cha marekebisho na hii yote ni kukabiliana na nguvu ya m4c kutokana na majina mengi kutokuonekana ktk hilo daftari
nb;wanamabadiliko wengi mjizatiti msijeangukia pua
 
Back
Top Bottom