Daftari la kudumu la wapiga kura kuchakachuliwa

The Don

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,499
1,163
Kutokana na upepo mbaya unaokivumia chama cha mapinduzi wa kukimbiwa na kuhamwa na wafuasi wake kujiunga cdm kuna mkakati wa kutumika madaftari feki ktk marekebisho ili kupunguza idadi ya wapiga kura wanaohatarisha usalama na utawala wake kutokana na mabadiliko makubwa,hii yote ni kupambana na m4c
 
Wajaribu waone tutakavyowafanya. Hivi sasa hatutaki utani tena ujanja ujanja katika uchaguzi. Watu waliofikia umri wa kupiga kura kabla ya 2015 waandikishwe.Tutapiga kura na tutazilinda.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom